Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Mara kadhaa umesikia watu wakijiita watabiri na kutabiri mambo mbalimbali ambayo hayakutokea kama walivyobashiri. Now naomba nikupe stori ya mwanamama kipofu ambaye alifariki miaka zaidi ya 20...
9 Reactions
24 Replies
8K Views
Tangu kuingia kwa wageni nchini Tanzania hasa kuanzia kipindi cha wakoloni miaka ya 1880s hadi leo, kumekuwepo mabadiliko makubwa ya uingilianaji wa watu kutoka jamii/koo tofauti tofauti kutokana...
13 Reactions
185 Replies
65K Views
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in...
3 Reactions
272 Replies
50K Views
Turkey has signed an agreement with Sudan that will allow it to have a military presence on the Red Sea. Turkey has signed a $650m deal to develop an island on the Red Sea. It is the latest...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Haya ndio makubaliano waliyowekeana mataifa wanachama wa Umoja Wa Mataifa juu ya matumizi ya anga za mbali. Article I Uchunguzi na matumizi ya anga la nje,ikihusisha Mwezi na mbingu na bodi...
1 Reactions
0 Replies
830 Views
wajameni nijuzeni kwa wajuvi kuna Mahusiano yoyote Kati SISMI na Jesuits?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wataalam wa Meli nisaidieni kujua meli ikitembea huwa inamwaga maji na yanapitia wapi? Kwa juujuu unawezasema nii kweli maji ya bahari hutumika kupoza engine ya meli. Lakini kiundani ni hapana...
9 Reactions
82 Replies
31K Views
Habari za wakati huu wakuu wa Jamii Forums? Wengi wetu tunafahamu ni kwa kiasi gani tunahitaji kupaa kwenda juu, lakini kutokana na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu tunajikuta tupo pale pale...
24 Reactions
79 Replies
9K Views
Kugundua jambo ni swala linalochukua muda mrefu, na ugunduzi wa mambo au vitu vingi unavyovijua sasa ulifanyika miaka mingi sana iliyopita tofauti na ambavyo wengi wanavyoweza kufikiria. Hii ni...
19 Reactions
23 Replies
18K Views
Ni ukweli kuwa pamoja na kufahamu yaliyotokea Japan Rais Obama anajua kuwa mataifa mengi ya Afrika yameumizwa na matendo ya Marekani ambayo pengine taifa hili linastahili kuomba msamaha. Maumivu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Dag Hammarskjöld: evidence suggests UN chief's plane was shot down Eyewitnesses claim a second aircraft fired at the plane raising questions of British cover-up over the 1961 crash and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nazungumzia watanzania waliosoma Urusi kwakuwa ni hao ambao ninawafahamu vizuri pengine na wa nchi nyingine wapo hivyo pia lakini sifahamu. Kikubwa ni kwamba wasomi wengi waliosoma nchini Urusi...
23 Reactions
211 Replies
43K Views
Redirected here BLACK WEDNESDAY: Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na Yaliyo Nyuma ya Pazia
7 Reactions
8 Replies
9K Views
Leo hii tar 21 Desemba ni siku ndefu ya mwaka, ni siku ya solistasi. (Waingereza husema solstice) . Leo Jua linafika nafasi ya kusini zaidi hivyo iko juu zaidi angani. Na njia yake kwenye anga ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wandugu! kama topic inavyojieleza, ni nadra kukuta statue or sanamu ya viongozi mashuhuri ndani ya Bongo except ile ya mwalimu nyerere...sina uhakika kama zipo nyinginezo! hata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
"Sophie! Sophie usife ishi kwa ajili ya watoto wetu".yalikuwa ni maneno ya mwisho ya Archiduke Franz Ferdinand tarehe 28 June mwaka 1914 akiwa anakata roho baada ya kupigwa risasi.Akimtaka mkewe...
29 Reactions
65 Replies
11K Views
Moja ya mambo mengi yanayosababisha nchi za Kiafrika zisiendelee ni pamoja na asilimia kubwa ya viongozi wake kuingia katika uongozi kwa njia za kishirikina au kuamini ushirikina. hili limekuwa...
11 Reactions
45 Replies
9K Views
Einstein's response: I am deeply moved by the offer from our State of Israel, and at once saddened and ashamed that I cannot accept it. All my life I have dealt with objective matters, hence I...
8 Reactions
37 Replies
7K Views
Kuvujika kwa U.S.S.R chini ya Mikhail Gorbachev. Habarini wanabodi!! Mwaka 1922 umoja wa nchi za kijamaa uliundwa (Union of Soviet Socialist Republics). Umoja huo uliundwa na nchi kama Romania...
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Back
Top Bottom