ILIKUWA Oktoba 10, 1465 - siku ya harusi iliyotarajiwa kuwa ya kufana sana ya Mfalme Alfonso II wa Naples. Alipanga kufunga ndoa ya kisasa na Ippolita Maria Sforza, mwanamke kutoka Milan, katika...
Wana ukumbi,
Naomba awali ya yote nisionekane kama ni mtu ambae nimekuja kwa choko choko ama ni mtu mwenye mtazamo wa ubaguz.,la hasha nimekutwa na hili wazo na naomba nilete kwenu tulijadili...
Kati ya vitu ambavyo mpka leo vinanipa shida ni kushindwa kujua ni mechanism gani iko ndani ya risasi (bullet) kiasi cha kuua kwa kasi, kwa sababu kuna vitu mfano kisu ni kikubwa kinaweza kukita...
Coca-Cola ni moja ya kampuni maarufu duniani, ambayo hutengenezwa soda maarufu ya Coke na vinywaji vingine vya soda. Lakini, ilikuwaje hadi ikawa na jina hilo?
Labda umewahi kusikia kwamba...
Bila kwenda mbali jambo hili nalipeleka moja kwa moja kwenye mifumo ya ulinzi ya dunia hasa angahewa(atmosphere).
Angahewa ni kama blanket ambalo limeizunguka dunia huku likiwa na hewa...
Kwa vile Balali alipelekwa kwenye matibabu huko Marekani, matibabu ambayo yalisababisha alazwe kwa muda mrefu;
Kwa vile hali yake haikuwa nzuri na iliendelea kuwa mbaya hadi kumlazimisha...
Mnamo mwaka 1998 Jan Koum [Kulia kwenye picha ] alikutana kwa mara ya kwanza kabisa na Brian Acton [ Kushoto ] wote wakiwa wafanyakazi katika shirika la Yahoo. Walifanya kazi hapo kwa miaka 9...
Habari WanaJF,
Siku chache zilizopita niliota nimepigwa risasi,na hakika nikaiona mauti, na hata nilipoamka baada ya ndoto, nilikuwa nikiyajua maumivu ya mauti yalivyo.
Suala hili...
Awali ya yote niwatakieni heri ya chrismas na mwaka mpya.
Ndugu wanaJF kuna mada huwa naiona lakini nmeshindwa kabisa kuielewa, kama wengi tunavyofahamu kani ya uvutano ndio huvivuta vitu vyote...
Serikali na mamlaka zake inadai inaendelea kupambana na vitendo vya kuchakachua mafuta ya dizeli na petroli, lakini ufuatiliaji niliofanya unaashiria kuwa baadhi ya watendaji ndani ya serikali na...
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha...
Natumaiii m wazima wote humu
Leo tulichungize kidogo Bomu ya Hiroshima
Bomu lilolipua miji Japan hadi leo limeleta athari
Baada ya kulipuka cheche za bomu zilisambaa zaidi km 900 yaani kama...
Habari wana JF
Kuna story nyingi mtaani kwetu kuwa banking soda au chapa maandashi inaweza kupambana na ( UTI ) kifupi ni kwamba UTI ni ugonjwa wa njia ya mkojo unaosababishwa na bacteria anaeenda...
Natumai mko poa wakuu.
Leo tunaendelea tena na kufahamishana juu ya madude yaliyo ktk mfumo wetu wa jua, hebu tuiangalie sayari ya Mars kwa undani zaidi.
1. Sayari ya Mars ni ya nne (4)...
Vitabu vitakatifu, Quran na Biblia vyote vinasema Mungu wakati wa mwanzo wa uumbaji wake, aliumba mbingu na nchi (dunia).
Kuna jambo moja linalonisumbua kwa muda mrefu ambalo ningependa wajuzi wa...
Nimefatilia thread nyingi hapa mjengoni na hili linahusu ishu ya DNA kuna baadhi ya nyuzi zili zungumzia upelelezi kwa wahusika wa matukio mbali mbali na kukamatwa kwa njia ya kupima vinasaba...
Huwa wakuu wote wa nchi wanapoenda nchi zingine kwa ziara rasmi wanapewa ceremonial aide de camp na host country ,nimefuatilia ziara ya jana sioni aide de camp wa TPDF nyuma ya PK as practiced.je...
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha...
ASUBUHI NA MAPEMA KWA MTAALAMU WA KUREMBA NA KUTENGENEZA SURA.
Ni tarehe 6 mwezi August mwaka 2009 jamaa wawili wanaingia saluni kwa mtaalamu wa make up. Ni wachangamfu hawana wasiwasi. Mmoja ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.