Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Kumbe m-pesa iligunduliwa kenya tena na kijana aliekua anafaya internship safaricom?? aaah... kumbe keyboard yangu nzima haya tuanzee Tangu kipindi cha mwisho cha kikwete kulikua na malalamiko ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na mzozo wa muda mrefu kuhusu udhibiti wa mji wa Jerusalem kati ya Waisraeli na Wapalestina. Mji huo kwa sasa huwa umegawanywa mara mbili, Jerusalem Mashariki na Jerusalem Magharibi...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
PICHA za kusikitisha zilizopigwa miaka zaidi ya 150 iliyopita zinaonyesha ukatili wa kutisha waliokuwa wanafanyiwa watumwa kutoka Afrika waliosombwa kupelekwa barani Amerika kwenda kufanyishwa...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
  • Closed
"Deception is a state of mind and mind of the State." - James Angleton CIA Chief of Counterintelligence (1954 - 1975) Alhamisi March 13, 1953 Washington D.C "Put that away." Hiyo ndiyo...
235 Reactions
668 Replies
97K Views
Inasemekana Marekani hupuliza kemikali aina ya alluminum,Strontium na Barium hewani kwa kutumia military na civilian aircrafts, je lengo ni nini?
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Salaam! Katika kufuatilia fuatilia mambo hapa na pale ili kuongeza maarifa ndani yangu, nimejikuta natafakari kuhusu ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi na nikakumbuka kuna siku...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
RAIS wa Urusi, Vladimir Putin. RAIS wa Urusi, Vladimir Putin akiwa amebakiza siku chache kabla ya kuingia katika uchaguzi mkuu, ameanika kiasi cha fedha alizojipatia kipindi cha miaka mitano...
7 Reactions
18 Replies
8K Views
Kuna minong'ono na maneno ya wazi kwamba kuna viumbe wa ajabu wamekimbilia katika dunia na kusababisha hofu na wasiwasi wa maisha ya binadamu wa kawaida, kwa mujibu wa mwanasayansi wa fizikia na...
13 Reactions
110 Replies
30K Views
AN INDEPENDENT INVESTIGATION OF 9-11********** by Anonymous Due to concerns for his personal safety, the author has chosen to remain anonymous. Author hereby grants full permission to...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
BOKO HARAM MSHIRIKA WA MAREKANI NIGERIA Maneno yangu ni kama kitanzi, Yanakaza katika shingo za baadhi ya watu humu ndani Facebook, Usalama,viongozi na watu wa kawaida kama mimi,musinichukie...
13 Reactions
99 Replies
18K Views
Habari wana jf natumai ni wazima.Sijawahi kuanzisha katika jukwaa hili(home of great thinker) Leo ndo my first time.Hili huwa najiuliza lakini nakosa majibu.Soma kisa hiki hapa chini Mwanasayansi...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Geneva huu ni moja ya miji mikubwa huko Switzerland. Ukitaka kuupata kwa coordinates ni 46°12′N6°09′E / 46.200°N 6.150°E. Kitu kinachonishangaza ni kwamba kila shughuli unayoifahamu bhasi...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
,, "if you only knew the magnificence of the 3,6 and 9 then you would have a key to universe" Mwenye kufahamu kwa undani atililike, kwa vip naweza tumia number hizi 3,6,9 ktk nyanja mbalimbali za...
6 Reactions
21 Replies
9K Views
Mauaji katika Fungate (je ni kweli Shrien Dewan alipanga mauaji ya mke wake?) Tarehe 13, mwezi wa 11 mwaka 2010, wanandoa wawili wakiwa safari ya kula fungate Afrika ya Kusini baada ya ndoa...
5 Reactions
60 Replies
12K Views
I have tried to run a simulation with the little forensic science I know of bullet being shot in the air( thrust, speed, velocity and resistance to gravity) and upon its thrust upwards declining...
10 Reactions
57 Replies
5K Views
Jamani nimepita mbeya jana nikakuta kuna jengo limeandikwa SHREE HINDU MANDAL lakini kilichonistua ni alama ambayo imechorwa kabla na baada ya hilo andiko. Kuna alama ambayo ni sawa na ile...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Salaam wakuu, Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua...
1 Reactions
255 Replies
103K Views
kuna imani kwamba waarabu kwa sababu moja au nyingine wanawachukia kwa kiasi fulani raia wa nchi za ulaya magharibi. si ajabu sasa makundi ya kiarabu yenye msimamo mkali dhidi ya wazungu wa ulaya...
9 Reactions
266 Replies
32K Views
Utafiti wa vinasaba unaonyesha hivi ndivyo Mwingereza wa zamani alivyokuwa. Alikuwa na ngozi nyeusi na nywele nyeusi zenye kujipindapinda. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mabaki ya...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Jerusalem ni muhimu kwa dini na imani zote za Ibrahimu kwa sababu ina sehemu zao takatifu kwa ajili ya Uyahudi ni jiji la hofu kabisa, kwa Waislamu ni ya tatu baada ya Makka na Medina, na kwa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom