Hallo Jf,
Katika mambo yanayoumiza vichwa hapa duniani ni kuwa Binadamu na ulimwengu mwanzo wetu ni upi hasa??
Wanasayansi Na vitabu vya dini vinatupa majibu yanayoongeza zaidi maswali kuliko...
Tanzania na Kenya zinajitenga na Afrika? Ufa waibuka Bonde la Ufa na kuongeza uwezekano Afrika kugawanyika
Kuibuka kwa ufa mkubwa katika eneo la Suswa katika Bonde la Ufa kusini magharibi mwa...
Imesemekana kuwa kuna mwanamke mmoja amekamatwa ambaye anajihusisha na masuala ya madawa ya kulevya, kakamatwa ila ni baada ya msaada wa Barack Obama ambaye aliiambia nchi yetu kuwa kuna mwanamke...
China ni miongoni mwa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu ulimwenguni lakini wamekuwa na USIRI mkubwa na kuthibitisha hili China hawakuwa nyuma katika mageuzi ya teknolojia ya uchunguzi wa...
Rais Magufuli alipokuwa anafungua kiwanda mjini Morogoro alipata nafasi ya pia ya kumpokea Mwanamuziki maarufu mjini hapo Afande Sele kutoka chama cha ACT na kujiunga na CCM.
Lakini wakati Afande...
Mimea sita yenye sifa za kushangaza zaidi duniani
Duniani huwa kuna mimea ya aina nyingi, lakini kunayo baadhi ambayo inashangaza kwa sifa zake za kipekee. Hapa, tutaangazia sita kati ya mimea...
Laiti kama ungefahamu hisia ya sita inanguvu kubwa katika mwili wako kukuwezesha kufanya mambo makubwa hata mashetani yakakuogopa.
Unaweza kumshawishi mtu kitu bila kuongea naye chochote kwa...
Lengo langu ni kumjibu chipa GM na kumfafanulia kidogo kuhusu uzi wake aliodai ni Utoto mtandaoni.
Kwanza nataka ujue kuwa, lisemwalo lipo, Kama halipo linakuja.
Wewe humjui vizuri Mr...
Balozi Job Masima ameanza kazi rasmi ya kuiwakilisha Tanzania nchini Israel akiwa balozi wa kwanza nchini humo tangu Tanzania (wakati huo ikiitwa Tanganyika) ivunje uhusiano wake na taIfa hilo...
Habari za majukumu wakuu, nimeona tujuzane mawili matatu juu ya mwanasayansi huyu Victor Frankeistein ambaye kwangu ktk kumsoma nimeona ni moja kati ya wanasayansi walio very UNDERRATED sana...
Wakuu,
Salaam!
Mara kadhaa nimesikia watu mbalimbali hasa watu wa dini wakizungumzia kuhusu ulimwengu unaoitwa wa roho!
Sijaelewa hasa nini maana ya kitu hiki.
Kwamba kuna ulimwengu mwingine nje...
<iframe width="420" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/0UP1OU9uQ2k" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
are we alone? probably not, what do you think?
Baada ya dunia kushuhudia anguko LA mfumo wa kijamaa baada ya vita baridi, sasa ni wakati wa kuona anguko lingine LA mfumo wa kidemokrasia wa vyama vingi.
Baba wa demokrasia hii, US...
“When an old man dies, a library burns to the ground.” – African proverb
In the wake of more than 50 holistic doctors dying in questionable circumstances few years ago, Dr. Sebi — known as the...
Imefika wakati wa kupima ubora wa elimu yetu kwa kuangalia idadi ya watu wanaokutwa na hatia na kwenda jela. Idadi ya wafungwa na magereza yanatosha kutuonyesha tuna ubora wa elimu kiasi gani...
Miaka kadhaa nyuma baada ya Kenya kupeleka majeshi somalia kupambana na Al shabaab ili kuisaidia serikali iliyokuwa imeelemewa na mzigo huo ndio Al shabaab wakaanza kuingia ndani ya Kenya kufanya...
Wapendwa naomba kujua ni kweli fisi anajinsia mbili (jinsia ya kiume na ya kike).
Ndugu zangu habari zenu
Si kweli kuwa fisi ana jinsia mbili isipokuwa fisi tuliyemzoea aitwae spotted hyena...
Salute comrades,
Wakuu napenda sana kufuatilia Dunia na maisha ya wanadamu ilipotoka, ilipo na inapoelekea (Past,present & Future events)
Sasa katika soma soma yangu kwenye vyanzo mbali mbali...
Habari za muda wanaJamvi
Nyanja ya usafiri imekuwa ikikumbwa na kasumba mbalimbali ulimwenguni kutokana na hali za uchumi za watumiaji lakini pia ongezeko la watu ambalo huongeza uhitaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.