Soma hapa sijapata muda kufafanua kwa kiswahili
"Kids these days ... " At some point in every adult life, we all utter this phrase. No matter how young and hip you think you are -- use of the...
Hali iliyotokea juzi tarehe 5.03.2018 ilinitisha na kuniogofya nisijue nini cha kufanya wala sikujua ni kitu gani kimesababisha Jua kubadirika na kutengeneza hali yenye utisho mpaka sasa...
Salam Sana!
Nimekuwa nikijiuliza bila majibu sahihi kwa yanayotokea duniani na jinsi binadamu tunavyoishi!!
Kila binadamu anakua na kulazimika kutafuta pesa,bila pesa mtu haishi vizuri-swali ni...
Pombe ilikuwa imemwingia kichwani kiasi flani na kumfanya ajiskie kuwa ni jasiri kwa namna moja ama nyingine, aliamua kunyanyuka na kusogeleaa chumba kingine ambacho ndani yake kulikuwa kuna tukio...
Awali ya yote niwatakie afya njema wana jamvi na Mungu awabariki bila kuwachosha niende kwenye mada.
Mwaka 1991 Baba yangu aliomba uhamisho kufanya kazi karibu na kijijini kwao ili aweze kuwa...
Heko kwenu wadau wa ulingo huu mwanana kabisa kwa ajili ya kujuzana mambo kadha wa kadha.
Hivi karibuni nimesoma mahali kuwa Navigator wa ile ndege ya Israel iitwayo F-16 iliyotunguliwa na Jeshi...
1. They do not accept that everyone is entitled to rights, and often encourages their supporters they need nothing from the Populist Government. i.e. security.
2. They have a tendency of abusing...
Na ni kweli kuwa na kiongozi wa kudumu kunatuwezesha nchi nzima kufanya kazi kwa kila mtu katika fani na wito wake.
So kutatuwezesha kuwa kuwa na fikra kuwa tunae kiongozi basi kila mtu...
John Kibera lilikuwa jina lilotawala sana katika vichwa vya wanausalama wa Kenya kwa kuwasumbua kwa matukio yake ya kupora raia na kutishia maisha.
John Kibera maarufu kama "DK Shah" alibadili...
Kiukweli amenichanganya sana baada ya kusema kwamba 99.9% ya Watoto wanaozaliwa wakiwa na uzito mdogo na wenye kupata / kuugua Ugonjwa wa ' Utapiamlo ' huwa na uwezo mdogo sana wa Kufikiri /...
A few days ago I happened to be listening to the news in Tanzania and the the minister of Work said something like this " I am glad the opposition now knows that development is brought by ccm and...
Wengi mtakubaliana na mimi kwamba amani na utulivu wetu kama nchi mwisho wake ulikuwa 1995
Baada ya hapo amani na utulivu wetu tuliviweka rehani pale tulipoanza kubinafsisha kila kilicho chetu kwa...
Tunapozungumzia uchumi unakuwa tunazungumzuia makusanyo si matumizi, ndio maana uchumi unapimwa kwa GDP (Gross domestic product) kwa maana pato la taifa maana ya pato ni kile unachokusanya aidha...
Asalaam aleykum!
Napenda kwanza kumshukuru ALLAH kwakunijaalia afya njema kwani wala si kwaujanja wanu ila ni kwa rehema zake.Dhumuni la kuletwa duniani ni kumuabudu yeye aliyeumba mbingu na ardhi...
Sherehe ya Waashanti ya viazi vikuu
karne ya 19 kwa mujibu wa Thomas E. Bowdich
Ngome ya Cape Coast
Kasri la Elmina
Historia ya Ghana ilianzia mbali sana, hata kabla ya ukoloni tunaweza...
Familia ya Beaumont ya watoto watatu ambao ni Jane Nartare Beaumont (alizaliwa 10 mwezi wa tisa1956), Arnna Kathleen Beaumont (Alizaliwa 11 mwezi wa kumi na moja1958), na Grant Ellis Beaumont...
Tarehe 18 Januari 2015 Idara ya usalama ya Agentina ilituhumiwa kuhusika na mauaji ya mpelelezi binafsi bwana Alberto Nisman aliyekuwa akitaka kuanika madudu ya serikali hiyo ikiwemo ufisadi...
“Kwa mamilioni ya watu ndani na nje ya Afrika, Kwame Nkrumah ndiye Afrika na Afrika ndiyo Kwame Nkrumah; Kwa Wakoloni na Mabeberu jina la Nkrumah ni laana kwao; kwa Masetla na Walowezi jina lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.