Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Tamer El-Noury ni jina lake kamili akiwa ni FBI muislamu ambaye alipewa jukumu la kuingia ndani ya makundi ya kigaidi yenye msimamo mkali na kushirikiana nao katika kupanga mashambulizi dhidi ya...
9 Reactions
6 Replies
4K Views
Au niuelewa wangu mdogo au upo tofauti na ukweli husika? Kuna huu utaratibu wa viongozi wa kiserikali hasa hapa dar kutembea kwa masafara wa magari kadhaa ukiongozwa na pikipiki. baadhi ni kama...
13 Reactions
235 Replies
47K Views
Hili fumbo walitengenezewa na Jim Sanborn mwaka 1990 na lilikuwa na sehemu nne zenye herufi kama unavyoziona hapo chini. Wenyewe CIA wanadai kuwa walishapata majibu ya sehemu tatu bado sehemu ya...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee...
42 Reactions
176 Replies
22K Views
Kuna jambo la ajabu ambalo wengi hawajalitambua... Nimejaribu kuunganisha dots, nikaingia Google kupata support ya picha na mawili matatu! -Je unajua chochote kuhusu anguko la mji wa Ninawi na...
45 Reactions
193 Replies
36K Views
BIOLOGICAL WARFARE BEFORE THE 20TH CENTURY War and infectious diseases have always been closely linked. Even without a precise understanding of how diseases were spread, it was understood early on...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Operation redwing Mnamo siku ya tareh 27.06.2005 usiku…(makomando) wan ne vijana kutoka jeshi la marekani walishushwa katika kilele kimojawapo cha milima ya Hindu kush kijulikanacho kama...
32 Reactions
79 Replies
14K Views
Naona gazeti la fisadi Rostam Azizi limeanza kuanika ufisadi wa mafisadi watoto. Ufisadi huanza kidogo kidogo na baadaye kufikia hatua ya kuiba mabilioni na kuanza kuua watu. Masahihisho tu kwa...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Maisha ya Simba dume yamejaa misukosuko Simba ni mnyama anayesifika kwa ukali mpaka kubatizwa jina la mfalme wa nyika.Cheo cha ufalme wa nyika hauendi kwa simba jike bali cheo hicho ni mahususi...
56 Reactions
60 Replies
16K Views
Wakuu kama tunavoona China inazalisha bidhaa nyingi ambazo huuzwa mpaka Ulaya na marekani. Lakini mpaka sasa China sio mjumbe wa G7 (Most industrialized countries) yaani Nchi zilizoendelea...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Jesus's Story Is An Obvious Rehashing Of Numerous Previous Characters Perhaps even more compelling is the story of Christ himself. As it turns out it's not even remotely original. It is instead...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Lakini nyinyi mnaowasha moto, na kujifanyia silaha za mienge, tembeeni kwa mwanga wa moto huo, miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe. Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki: Nyinyi...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara nyingi mtu mkamilifu mwenye upendo wa dhati huwa anajaribu na anaepuka kuleta maumivu kwa mwenzake na jamii kwa ujumla. Ikitokea kumuumiza mwenzako unahisi kuhukumiwa toka ndani . Mtoto...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
IGNATIUS LOYOLA ALIWAHI KUSEMA HIVI pale atakapotumwa kazi na kanisa hata kama ni nyeusi ila yeye ataitafsiri ni nyeupe.... "I will believe that the white that I see is black, if the hierarchical...
14 Reactions
67 Replies
16K Views
1. Egypt, PowerIndex: 0.6214 Total Population: 86,895,099 Fit for service: 35,305,381 Active Frontline Personnel: 468,500 Total Aircraft: 1,107 Total Naval Strength: 245 Oil Production: 680,500...
1 Reactions
216 Replies
82K Views
Tunaposema JF ni kitovu cha greatthinkers/intelligent guys kimenifanya kutaka kujifunza Thinkers hawa maisha ya kila siku na jinsi walivyovumbua vitu, kufanya mambo makubwa, kutawala kwa njia za...
92 Reactions
187 Replies
50K Views
Wanabodi, nawasalimu; moja kwa moja niende kwenye mada. Bila shaka ni ni suala pana ambalo ndani yake kuna taaluma mbalimbali. Kwa jinsi yake na namna yake ni mwelekeo unaolenga ustawi wa mtu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TUME ya Abbottabad imesema kuwa Osama bin Laden aliishi kama mtu wa kawaida bila wasiwasi wowote kwa karibu miaka 10 na aliwahi hata kusimamishwa na polisi katika eneo la Swat huko Pakistan kwa...
13 Reactions
437 Replies
117K Views
Ulimwengu umejikuta katika vita visivyoisha na wakazi wake kufanywa mawakala wa vita hizi. Jambo moja liko wazi nalo ni hili, mataifa yenye nguvu yamejitahidi kutwaa umiliki wa dunia nzima na hii...
7 Reactions
42 Replies
10K Views
Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force, Moja ya Special Air Service (SAS)-Britain Operation Certain Death Israel MOSSAD hawa...
4 Reactions
151 Replies
40K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…