Simo Häyhä December 17, 1905 – April 1, 2002
Nicknamed ‘The White Death'|705 confirmed kills (505 with rifle, 200 with submachine gun)
Was a Finnish soldier who, using an iron...
Jana nimesoma gazeti moja likimtaja Mkurugenzi wa Dawasco Bw Archard Mutalemwa nikashangaa; ni Mutalemwa yupi? Aliyekuwa anasambaza maji yasiyo na dawa (1993) wakati akiwa NUWA akaundiwa tume na...
Ndugu wanajamvi nimeamua kulileta kwenu hili baada ya kukaa Kwa muda nikifikiria kinachotokea katika ardhi ya Pwani.
Mpaka sasa mauaji yanaendelea, mbaya zaid haijulikani. Nn sababu, lengo la...
Habari zenu wana intelligensia......
Kumekuwa na story nyingi sana kuhusu existence ya Mungu na jinsi dunia inavyopata shida.....hii imesababisha watu wengine kuhisi kuwa hakuna Mungu,ama story...
Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ni miongoni mwa Taasisi nyeti kabisa nchini kutokana na umuhimu wa majukumu yake.
Umuhimu wake unakuja kutokana na sabababu kwamba; nchi yeyote ile ni lazma iwe...
Kwa muda sasa najaribu kujiuliza hili swala kwamba Bahari ilikuwepo tangu kuumbwa kwa hii dunia ila maji yalioangamiza kizazi cha enzi za Nuhu yalipotelea wapi katika uso wa dunia au ndio kusema...
Kilimanjaro ilivyonusurika kuwa nchini Kenya, Mombasa kuangukia TanzaniaJUN 15, 2017by JOSEPH MIHANGWAin MAKALA
JE, umewahi kujiuliza swali hili: “Kwa nini mpaka [wote] kati ya Tanzania na...
1: Ni nchi pekee duniani yenye wasomi wengi maengineer, PHDs na Graduates (135 per 10,000).
2: Mwanasayansi Albeit Einstain 1952 alipewa ofa ya Urais wa Israel lakini aliona akatae.
3; Ndio...
Nikola Tesla and Albert Einstein were two of the greatest scientists of all time, but they often worked in opposition to each other rather than together in cooperation.
Einstein’s theory of...
Wakuu kwanini karata picha zake zimekaa kitata?
Ile michoro ina maana yeyote na kuna yeyote anaelewa maana yake, hivi ziligunduliwa kwa ajili ya kuchezea kama tunavyocheza sisi au zina mambo yake...
Kutokana na kushamiri vitendo vya kiuchawi kuongezeka imekuwa vigumu kutofautisha ugonjwa wa kawaida na ule wa kiuchawi, sasa dalili zake ni kipimo kikubwa cha kujua uchawi na malaria tofauti yake...
Habari, nilikuwa nalisikia sana suali hili lakini leo nimeamuwa kulijibu kwa kunukuu maneno yake mungu
Kiukweli ni suali moja gumu ambalo haliwezi kujibiwa na yoyote katika dunia ama kwengine...
Wewe ni nani?
Wewe sio kazi yako unayofanya, wewe sio kundi la watu unalojihusisha nalo.
Wewe sio mawazo yako,
Wewe sio Akili yako,
Wewe sio mwili wako,
Wewe sio mtu mwenye furaha, huzuni...
Habari wakuu, natumai wote ni wazima. Napenda kuwaletea thread kuhusu Espionage au Intelligence. Espionage ni nini? Espionage ni kitendo cha kukusanya taarifa au nyaraka muhimu za nchi/taifa au...
CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI.
Waslaam wanajf kisima cha maarifa.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu...
Habarini za saa hizi wakuu..
Bila kupoteza muda usiku wa kuamkia leo nimeota natapika mapande ya nyama iliyopikwa na kuna mtu pembeni yangu(simkumbuki) ndiye aliyekuwa ananambia nifanye hivyo na...
Zito akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, amesema kwamba Waziri Karamagi alikwenda kusaini mkataba wa Mgodi wa Buzwagi, London kwa kutumia mfumo wa mikataba wa zamani wakati serikali...
wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya...
Leo naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi?
Ninawasilisha....