Jamani kuna jambo kidogo huwa linasumbua sana kichwa changu! Na sijapata majibu.Hivyo nimeona bora nililete humu labda nitapata msaada.
Jambo lenyewe ni hili; ikiwa Adam na Hawa(Eva) ndo chanzo...
Ripoti ya shirika la wahisani la Save the Children inasema kuwa watoto milioni 700 duniani wamepoteza fursa ya utoto wao, kutokana na sababu mbali mbali kama magonjwa, ndoa za mapema na mizozo...
Do Muslims or Arab nations( majority are Muslims) aware of Israel as the choosen Nation of God? Do they?
If they do why hating or standing against Israel?? Are they against Almighty God?
If they...
Kumekuwa na nchi tofauti hasa zenye uchumi mkubwa kwenda anga za mbali na nyingine kuwa na vituo huko angani kama ilivyo Marekani(NASA).
-Mara kwa Mara tumekuwa tukipewa taarifa za mafanikio...
Baada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbalimbali na nikagundua umuhimu wa mtu kuishi kiintelligence na kilichonifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha...
Hello JF Fans.!
Leo ni siku ya Ibada hasa kwa Wakristo walio wengi, lakini bado kuna ambao hatuwezi kufika Kwenye sehemu za Kusanyiko kushiriki na wenzetu katika Ibada kutona na sababu kadha wa...
Hivi wale panya waliotangazwa kuwa wana uwezo wa kutegua mabomu ni kweli walikuwepo/wapo au au yalikuwa mambo ya wanasia tuuu? Kama wapo kwa nini wasipelekwe Mbagala wakafanye kazi yao? Saidia...
April 21, 2017
Medellin, Colombia
Escobar's Hitman. Former drug-gang killer, now loved and loathed in Colombia
It is not often that you get to meet a man who has personally taken more than 250...
TANZANIA YETU
IMMORTAL TECHNIQUE
(THE 3 rd WORLD)
Ukitazama kwa undani utagundua Tanzania ni nchi ambayo haijapiga hatua kubwa za kimaendeleo katika siasa...
BIBLE’S CONTRADICTIONS
1. Genesis chapter 1
God created adam and eve together
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
2. Genesis 2:7 and 2:19
God created a man and then the...
Dk. Ballali kuumbua vigogo
Wosia wake wataja walioshinikiza EPA
Wanasiasa, wanasheria wauhifadhi
Mwandishi Wetu Mei 21, 2008
KIFO cha aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) Dk. Daudi...
Hamjambo humu ndani? Nawaomba mnielimishe juu ya hii app (TELBOX TANZANIA-inasemekana INA uwezo wa kufuatilia mawasiliano ya mtu yeyote unayetaka kumfuatilia) Nimei download nikataka kuitumia...
Dunia inamchanganyiko wa kila aina ya Mlengo wa Maisha. Lakini Sayansi ni kitu ambacho kila kiumbe duniani kimenufaika nayo kwa kujua au kutokujua.
Ukisoma Bibilia kuna mambo ambayo Yangebadili...
Mwanga una vyanzo vingi kama vile jua, mwezi, n.k je vipi kuhusu giza huletwa na vyanzo vipi? Giza ni nini hasa? Je kuna uvumbuzi wowote wa vifaa viletavyo giza? Karibuni.
Nini maana ya maisha haya.
mtu amezaliwa leo, kesho anakufa
Mtu anaishi katika jumba leo, kesho anaishi
chini ya ardhi.(mfu)
Mtu anaendesha gari leo, kesho anaendeshwa kwenye ambulance(ajali)...
Wadau- kama tunavyishuhudia siku hizi polisi wanashindana na raia wa kawaida katika kufanya vitendo vya ujambazi, wizi, mauaji nk nk ingawa wao ndiyo wanatakiwa kulinda raia.
Habari za juzi za...
UPDATE:
Saturday, August 24, 2013 | 1:43 PM
CHINA kumekucha! Sakata la kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga' linazidi kulitafuna taifa, safari hii limechukua sura mpya baada ya askari...
i would like to take this moment to give honorable respects and on top maximum congratulations to The Bold.
This is the most intelligent person on JamiiForums,from this man i have got what a huge...
Dunia ya sasa inaendeshwa na Petrol ''Dollar'' Petrol ndiyo inayo determine thamani ya Dollar.
unaweza kujiuliza ni kwanini USA ni super power mpaka sasa hivi na kwanini isiwe Urusi?
wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.