Mwaka 1984 Ronald Reagan akiwa rais wa 40 wa U.S,kwa muunganiko wa bunge na viwanda alipendekeza kuundwa kwa space station ambayo hapo awali jambo hili lilionekana kama nadharia!(science fiction)...
Nipo na angaria documentary inayohusu Libya,kupitia Aljazeera,
Wazungu hawawezi kuruhusu nchi yoyote ya kiafrika,ukiacha Afrika kusini,kuwa huru kiuchumi,na kwenda kinyume na Sera za kichumi za...
Habar zetu wadau...
Kama mada inavyo jieleza, ningependa kujua, kufahamishwa zaid.. iv kuna interdependence between these two "confident na intelligent " I mean mtu akiwa anajiamin sana ni dalil...
Naona hili neno limekuwa likitumika sana katika kutoa faraja kwa watu, utasikia mtu anamwambia mwenzake, "Pole sanaa ni mipango ya Mungu" ikiwa ni njia ya kumfanya mtu aone hilo jambo ni la...
Salam.
Kwanza naomba niipongeze serikali yetu yenye amani tele toka enzi ya Mwl Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, Mzee Kikwete na sasa jembe letu lingine Dkt John Joseph Pombe Magufuli kwa namna...
Wana wa Israili ni kabila la jamii iliyozalikana na Nabii Ya‘quub (‘Alayhis Salaam) ambaye jina lake jengine lilikuwa ni Israil. Hivyo, kizazi cha watoto wake kumi na wawili kikawa kinaitwa Bani...
wadau.
nimekuwa nikijiuliza sana ni nini na ilikuwaje hata mikasa ya madege makubwa makubwa ya abiria inatokea nakosa jibu.
nataka kujua nini kilitokea kwenye mikasa ifuatayo:
Pan Am Flight 103...
Nimejitahidi kuumba uhalisia wa Mwanadamu kuhusu maisha yake na mahusiano yake na Mungu, mazingira na roho yake, nimegundua hakuna kitu chochote mwanadamu anachomiliki. Kwa kuanza na roho yake...
Greetings Jamiiforum,
Dark facts like these, so if you don't like dark answers don't read it:
35 million of your body cells are dying, every single minute.
•This one shocked me. Only...
Taasisi ya kuzuiya Rushwa ya Tanzania
ilianzishwa mnamo tar. 15 Januari ya mwaka wa
1975 , kwa ajili ya kuzuiya rushwa. Taasisi ya
Kuzuia Rushwa (TAKURU) ni taasisi ya serikali
iliyopewa jukumu la...
na Edson Kamukara | Tanzania Daima | Oktoba 09, 2012
SIKU chache baada ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kuahidi kuwavalia njuga baadhi ya wafanyakazi wa kigeni wanaoishi...
Kuna vitu vinanitatiza sana sijui ni sababu ya kutaka kujua kila kitu Mimi sio mtaalam wa Geography japo wakati nipo sekondari tu kwa nadharia na kuna concept inasema dunia huwa inazunguka au...
UBONGO WA MWANAMKE....
Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke
anaweza...
Ni kanuni ya maisha hii inajulikana kama "the all or nothing principle".
Kanuni hii ni maarufu sana shule za secondary kwenye somo la baiolojia kwenye topic ya mfumo wa fahamu[the nervous system]...
wakubwa. amani iwe kwenu.
ninaomba tueleweshane kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili: Obama Care ni nini? naaa...
kwa nini Rais Donald Trump anaifuta?
naomba kuwasilisha.
Rekodi ya Dunia ya watu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi (IQ) ni Wanasayansi na wachezaji Chess lakini pia unaweza ukawa umewahi kujiuliza ni kiongozi gani mwenye akili zaidi Duniani...
"if i have seen further than others it is by standing on the shoulders of GIANTS"
Pandahill sec (2012) nikiwa a-level, kulikuwa na maada inayo mhusu SIR Isaac Newton. Kila mwanafunzi alikua na...
Hii imekuwa ni moja kati ya dhana ambayo sijaielewa vizuri,iko hivi imekuwa ikisemekana kwamba mtu akiweza kusafiri kama speed ya mwanga unavyosafiri basi ataweza kudhoofisha/kusimamisha umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.