juzi karibia siku nzima nilikuwa nimekaa mbele ya televisheni kushuhidia hatua kwa hatua tukio la kihistoria la kuapishwa kwa Rais wa 45 wa Marekani ambaye anakuwa ndiye Rais wa kwanza wa nchi...
Najaribu kujifikilisha jambo.hapo zamani kabla ya mzungu na mwarabu kutuaminisha imani ambayo mababu zetu hawakuzijua.tuliamini tulichoamini bila jina Muhamad wala Yesu.na tulifanya mambo yote...
Wakuu ninaswali kama sio maswali.
Ni hivi dunia inajizungusha kwenye mhimili wake tunapata usiku na mchana hapo sawa.
Sasa ishu inakuja kwanini hatushuhuudii/kuhisi mzunguko huo? Je ni...
“And I say to you, I have also decided to stick to love. For I know that love is ultimately the only answer to mankind's problems. And I'm going to talk about it everywhere I go. I know it isn't...
Jamani habari za jumapili, napenda kujua kuhusu Kobe kwanini anaishi miaka mingi nasikia eti anafikisha mpaka miaka 500, je kipi kinamfamya aishi maisha marefu hivi, hana bacteria au parasites...
Kuna baadhi ya nchi nyingi barani Afrika ambazo fedha zake zimekuwa maarufu kutokana na uchumi wake kuwa mkubwa na zipo nchi nyingine ambazo pamoja na kuwa na watu wengi kwenye miji yao lakini...
Wakuu nimejaribu kupitia thread mbalimbali kuhusu kifo cha huyu raisi wa marekani na kumekuwa na nadharia mbalimbali;moja ikiwa ni kuwa kulikuwa na utofauti wa kimtizamo pamoja na kiutendaji baina...
Jamani naombeni kujuzwa kwa mujibu wa OPEC ni kwamba asilimia 48 ya mafuta yote duniani hupatkana Middle East.
Kwanini ni Middle East Aid na si kwingineko?
Nakaribisha mawazo.
Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Ramani ya Guantánamo Bay
Wafungwa walipofika mwaka 2002
Guantanamo Bay au Hori ya Guantanamo (kwa Kihispania Bahía de Guantánamo) ni hori ya Bahari ya Karibi inayoingia kusini mwa kisiwa cha Kuba...
Ubinafsi wa kiakili ni ile hali ya kuamini fikra zako tu binafsi.Tunapofikri kwa mtindo huu,hatutaweza kufahamu mawazo,hisia na mihemko ya wengine.
Huu ni mtazamo wa kiasili ambapo tunaguswa...
Wakuu Jeshi ni Moja ya kitu muhimu sana kwa ustawihi wa Taifa lolote ulimwenguni tumekuwa tukishuhudia Budgets kubwa kabisa mataifa mbalimbali zikielekezwa katika majeshi, Ili uwe safe na jeshi...
Why Does the Bible Speak Against Braided Hair?
The Christian Post
March 30, 2017 7:26 pm
There are some Christian sects that interpret the Bible literally to the point of imposing certain...
Ni dhahiri makonda alienda kuvamia clouds akiwa na jeshi la wananchi na Polisi. Makonda sio commander wa jeshi la wananchi wala la polisi. Je, iwapo walinzi wa clouds wangerusha risasi kwa...
Nmekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefu. Ukiacha kuwa dhahabu inatumika kutengenezea mapambo au kuonesha utajiri nini kingine kinachoipa dhahabu uthaman?
Wazo nililo nalo ni kuwa uthaman wa...
Hivi karibuni tumeshuhudia kuwepo kwa sintofahamu baina ya mataifa matatu ambayo ni China, Korea kusini na Marekani kufuatia kile kinachodaiwa na Uchina kwamba ni mpango wa Marekani kutishia...
Nimekuwa Nikisoma Na Kufuatilia Hii Mada Kwa Mwaka Sasa. AfroAmericans Wanasema Wao Pamoja Na Bantus From Ashanti,Nigeria,Ghana,Congo Angola,Cameroon Pia Blacks From Carribeans,Ethiopeans Ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.