Hii dhana ya kuwa Binadam walitokana na nyani inawezekana kwa Waafrika ikawa ina ukwel flan. Ukikaa kwa makini ukatafakari mambo yanayoendelea katika nchi za kiafrika. Na yanayotendwa na waafrika...
Soma Hapa
Kalenda tunayo tumia leo imetokana na kalenda ya Juliani ya kirumi. Hapo zamani kalenda hii ilikuwa na miezi kumi tu katika mwaka. Ndio maana Desemba tafsiri yake kwa lugha ni mwezi wa...
Kama mtu mwenye uelewa kiasi kuhusu utendaji kazi wa Idara yetu ya Usalama wa Taifa, nimekuwa 'nikipiga kelele' mara kwa mara kuhusu haja ya mageuzi ndani ya taasisi hiyo nyeti. Kwa bahati mbaya...
Hakuna anependa uchafu awe masikini au tajiri, ila kukosekana kwa mpango maalumu kwenye eneo husika mara nyingi huwa ni chanzo cha uchafu maana kila mmoja anategemea mwenzake afanye na hivyo...
Sehemu nyingi duniani tunatumia kalenda ya kirumi au gregarian calender, kwa heshima aliyopewa pope gregory kwa mchango wake katika kalenda hii.
ilikuwa ni mwaka 1582,ambapo watu walilala...
Siku ya jumanne wiki hii, mtandao wa WikiLeaks ulitoa taarifa za siri zipatazo 8761 ambazo zinaeleza kuhusu shughuli za ujasusi zinazofanywa na shirika la ujasusi la Marekani la CIA kwa kutumia...
Unakuta mtu anazaliwa akiwa na ulemavu wa viungo,ama hana kiungo kimojawapo,ama mtu ana jinsia mbili nk.Je nani anahusika na jambo hili?Kama binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu,je ni sehemu gani...
Katika Dunia tuishiyo sasa binadamu hatuko peke yetu, lakini tumejijengea dhana kuwatunaishi peke yetu huku tukisahau kuwa Mungu kaumba viumbe kadha wa kadha vinavyoonekana na visivyoonekana...
Kuna mambo mengi usiyoyajua kuhusu ikulu ya marekani ambayo pengine kwa msomaji anaweza kushangazwa akiyajua.Hivyo katika
kusherehekea Sikukuu ya Rais baadhi ya watu waliweza kutoa mambo 11 kuhusu...
Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia Kwa umakini muonekano wa walinzi wa rais wetu mpendwa ukilinganisha na walinzi wa Marais wengine
Katika kufatilia huko nimegundua kuwa muonekano wa walinzi wa...
Vitabu vyote vya Biblia na Kulani vinaamini kuwa Yesu atarudi kwa ukombozi au kuufanya mwisho wa dunia.
Studies zinaonesha yupo Sayari nyingine huenda ktk Galaxy ya Nebula au hii ya Milky way...
wataalamu husema kifo huwa na hatua tatu
hatua ya kwanza ni kukikataa kifo,yaani hapa sasa mtu anahangaika kuhakikisha anaokoa uhai wake kwa kila namna
hatua ya pili ni makubaliano au mapatano...
Wanajf naomba mnijuze, CCM kuwa chama dola maana yake ni nini? nataka kujua CCM ni sehemu ya dola au dola ni sehemu ya ccm.nini hasara na faida ya mfumo huu kwa taifa letu?
Wakuu habari zenu, leo naleta mada hii ili wajuvi wa mambo haya ya physics na sayansi zinazohusu silaha mnisaidie.
Mtakubaliana namimi kwamba bunduki inapopiga risasi basi risasi hiyo hutoa...
Anayefahamu naomba anijuze ?
Nasikia hawa watu wana akili sana na ndio maana Hitler aliwaua mamia kwa maelfu na vilevile nasikia kwamba nchi za kiarabu zimeshindwa kabisa kuifyeka hii Israel
Ni...
Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii...
Wana jamvi
Salaam
Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa.
Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka moja ya vitengo...
The Christian is called to love his/her neighbour. This love is to be expressed in a deep concern both for man's spiritual needs and also for material needs in everyday life. The difficulty lies...
Wadau nataka kujua vitu hivyo vinaweza kutumika kumfanya mtu akafanikiwa na ni namna gani mtu ambaye hajihusishi navyo anaweza kuzuia ili visimuharibie biashara zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.