Napenda Niweke Vizuri Jambo hili ambalo wengi hawalielewi.
kwa mujibu wa biblia ktk kitabu cha YEREMIA 32:27, Inasema Mungu Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili. Sasa tafsiri ya hapa ni kwamba Mungu...
Katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na kipisi hichi....ambacho kweli ukikisoma kina ukweli mwingi ndani yake na si Zambia peke yake bali Afrika nzima Tanzania ikiwemo. Nikaona nikelete hapa...
Mwaka 1798 kulitokea badiliko katika serikali iliyoungana na dini baada ya rais na kiongozi wa dini(PAPA) kukamatwa na kuuawa huko ufaransa. Baada ya kifo cha rais na kiongozi wa dini wa serikali...
Explanation of designations:
F is for Fighter, designed for air interception and air superiority.
A is for Attack, designed for air interdiction or air support
Missions
F-14 and F/A-18 are USN...
Kesi ya Yesu kuuawa ilivunja sheria zote.
Kwa mfano ukisoma Biblia utashangaa Yesu alikamatwa usiku akisali kanisani kwake porini kwenye milima ya mizeituni akiomba na wanafunzi wake ambao kwa...
Nimekua nikijiuliza mara nyingi teknolojia inayotumika kutengeneza madaraja yanayopita katikati ya maji eitha kwenye mito mikubwa, ziwa au bararini mfano kigamboni n.k ila sijafanikiwa kupata...
Foiling assassins and breaking up bank scams is all in a day's work for Secret Service agents. But in recent years, the job has grown harder. Today, agents must also protect the President against...
Dunia haijawahi kuchoka kupokea elimu mpya kutoka katika hazina ya Fikra za wakazi wake. Yawezekana Ikawa kweli au mbinu za werevu wachache kutia hofu wakazi wa dunia lakini Gonjwa hili...
Picha nyingi ambazo zimepigwa angani na satellite, nyota huwa hazionekani, lakini kwa mujibu wa wataalamu wa maswala ya anga hudai kwamba hapa duniani tunaweza kuona nyota chache sana kutokana na...
Dear Dr. Magufuli
The following is an extract of the threat letter that was received from Acacia Mining lawyers in London called Quinn Emanual.
The Company is acutely aware of the importance of...
Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku, ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi.
Ndugu zangu sote tumeumbwa na mwenyezi MUNGU lakini katika uwepo wake kwa binadamu, kwa upendo...
Habari za wasaaa.
Asilimia zaidi ya 80% ya mazungumzo yetu hufanya kwa vitendo bila maneno, nikimaanisha mwili huongea zaid kuliko maneno tusemayo.
Hili tendo huwa si la hiyari, kile...
If you fail never give up because fail means (first attempt in leaning)
And if u get no as an answer don't be afraid because no means (next opportunity)
Hope your a good positive thinker u...
Hamjambo ? Naombeni kujua kiundani kifaa hiki ni kweli kinarelate to Illuminati numbers 666 ?
Nimeona Wamarekani wameanza kuweka kifaa hicho mkononi , wao wanadai ni kama mastercard kuna ukweli...
Mlima Cook, mlima mrefu zaidi New Zealand - na Zealandia
Unayafahamu mabara yote saba? Jiandae sasa, kuna bara jingine ambalo huenda likaongezwa.
Bara hilo limependekezewa jina Zealandia.
Ni...
Leo nilikuwa nikijaribu kureview baadhi ya mambo kwa kina, mambo mengi tu lakini niliangalia sana mambo yanayoizunguka jamii kwa sasa.
IMANI:-
Nina imani kubwa watu wengi sana wanatafsiri...
Unaweza ukapaniki nitakapokwambia mawazo mengi unavyodhani ni yako sio yako ni vitu ulivyopandikiziwa Bila kujua. Sisi tunaamini uwepo wa Mungu na uumbaji tunaamini pia Mwanadamu aliumbwa na Uwezo...
Barrick Gold and Acacia Mining sent a letter of threat to Samantha Cole and the Tanzania Business Ethics group. They claim we are doing so much damage to their companies and to their reputations...
Born Charles Robert Darwin
12 February 1809
The Mount, Shrewsbury, Shropshire, England
Died 19 April 1882 (aged 73)
Down House, Kent, England
"Fikiria kwa uangalifu juu ya nadharia hizi...
Habarini wana jamvi,
Nimekuwa nikifikiria hili jambo kwa muda lakini nimekosa jibu la kunifanya niamini nnachosikia, nikaona sio mbaya ku share nanyi jamvini huenda kuna mtu ana uelewa wa haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.