Let’s call a spade a spade!
The “Mining Bad Boy” of Tanzania, Acacia Mining, owned 63.9% by “Mining Bigger Bad Boy”, Barrick Gold, has its few moments of goodwill whilst in parallel, they cause...
Ndugu, wanajf kisima cha fikra.Katika pitapita zangu za kutafuta kuongeza maarifa zaidi nikajikuta ninasoma kitabu kitakatifu na si kingine Bali ni bible.niliposoma kitabu cha mwanzo 2:24 '"kwa...
watu wanavyo wasifia wachawi inaonekana wachawi ni watu wenye uwezo mkubwa sana.
nasikia kuna waganga wengine ukienda Kwake anakuambia usimuambie matatizo yako.yeye ndio anaanza kukuambia.
jina...
Mind Control N.S.A WE Have No Secrets (Anymore)
The NSA & Synthetic Telepathy:
WE Have No Secrets
(Anymore)
Recent revelations of illegal NSA surveillance activities are no surprise to a...
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana...
Habari wana jamvi Intelligence..
Nimeamua tushee kidgo juu ya hii siri ya namba 9 katika uumbaji na existance of human race toka uumbaji wa mwwnyezi mungu mpka kizazi tulipo sasa...
Hakika namba...
KAMA HAUKUJUA BASI JUA KUWA
1. Kwa mujibu wascientificamerican.com, Mende anaweza kuishi kwa siku TISA bila kuwa na kichwa.
2. Kuna aina ya samaki aitwae STARFISH ambaye samaki huyo hana...
Napenda kulishaur jeshi letu imara LA polisi kubidili mfumo mzima ,kuanzia wakuu wa vituo vidogo,vya kati na vya kanda maalum,ofisi za upelelezi kwa kubdili watendaji wake ,kwani naamini jeshi...
Wakuu wa jukwaa hili bwana awe nanyi ,yesu ni mwema sana ndugu zangu na hakika aliyashinda mauti
Mimi swali langu ni moja kwenu nataka kujua kwanini shetani ana mupango wa kuitawala dunia hii na...
Ushauri huu kutoka kwa mdau kaongea mambo mengi ya msingi sana
KIPEPERUSHI CHANGU CHA DAWA ZA KULEVYA KIMFIKIE RAIS MAGUFULI
Rais wangu mpendwa, Dk John Magufuli. Nimevutwa kuzungumza nawe...
1. Seven heavens-Mbingu kweli saba
2. Worm holes
3. Sea's can seperated and No light down there
4. Bigbang and bing crunch
5. Singularity
6. Black holes
7. Dark matter
8. Gravity
9. Human...
Nilishangaa wiki chache zilizopita msemaji wa jeshi kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari kuna email ID yenye yahoo.co.uk. Hivi kweli jeshi wanashindwa kuwa na dedicated wail server ya...
Neno hili ni maarufu sana kwa wakristo na waislamu. Inasemekana watu waovu watateswa kwa moto milele na milele. wasichojua wengi ni kuwa jehannam ni sehemu halisi huko Jerusalem.
neno jehannam...
Japokuwa asilimia kubwa ya dunia tunaamini Dunia yetu ni kama TUFE, bado wako wengi na huku JF wanaendelea na Kampeni kuwa wenda Dunia ni Flat kama meza ya duara.Na kuna chama duniani Flat Earth...
Za jioni wana jf,
Ninachotaka kuwaeleza hapa ni nani mmiliki halisi wa Ratco Express. Nilikuwa nikisikia tetesi nyingi sana kuhusu mmiliki wa mabasi haya wengine wakisema ni mtoto wa Rais ambaye...
Poleni na mjadala wa Katiba; mimi leo nimeota rais akiwa anapanda ndege imeandikwa Tanzania Air Force One; akielekea nje ya nchi; Nikiwa njiani kuja hapa kibaruani kwangu nikawaza maswali mengi tu...
Apollo gafaranga ndiye aliyetekeleza mauaji ya patrick karegeya huko joburg..huyu apollo ni mmoja wa wafanya biashara wakubwa hapo rwanda akiwa na sophisticated thietre maeneo ya nyamirambo...
Wana JF,
Euthanasia ni nini au kifo cha huruma?
Katika uwanda wa elimu ya Sociology hiyo inajulikana pia kama mercy killing. Nini maana yake hiko ni kifo kinachopendekezwa na mgonjwa yeye...
MAKONDA NI DR MIRELES WA DAR ?
Dr Mireles , ni Daktari alie amua kupambana na wauza Unga na Cartel Huko Mexico baada ya cartels kuwahangaisha sana watu mji wake wa Michoacan.drug dealers walikua...
Guys nimeumia kichwa sana nimeshindwa kuelewa lakini najua hapa ndio mahala pake haswa
Nimeangalia jinsi watu huwasiliana kwa simu toka maeneo tofauti tofauti je nini huu si uchawi? Au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.