hili swali limekuwa kichwani mwangu sana.
kwa nini msema ukweli si mpenzi wa wanadamu ?.
labda vitu tuangalie kwenye mapitio mfano:
yesu kuwekwa msalabani,s.w.a muhamad kukimbia madina...
Isaac Newton, yes, the one who wrote the Principia. It may come as a surprise to learn that after making his scientific discoveries, Newton ended up in charge of producing...
Satelaiti ndogo za upelelezi
Mwaka 1988, Israel ilirusha satelaiti yake ya kwanza ya upepelezi angani, na kuingia katika kundi la mataifa nane yenye uwezo wa kurusha satelaiti angani.
Hadi sasa...
Kesi ya O.J
Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu yale yanayotokea nchi za wenzetu hasa Marekani na Visa na Mikasa ya matajiri. watu maarufu na waafrika hii ni moja ya kesi ambayo miaka...
Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia.
Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya...
Nimesoma kwa juu habari ya hawa viumbe kwenye Ukurasa wa habari wa BBC SWAHILI (FACEBOOK) ila nimetaka kukua kwa undani viumbe hawa ambao inasemekana walikuwepo miaka takribani milioni 200...
January 28, 2017
Comando from Tanzania episode three
https://aloycenyakunga.blogspot.com The Tanzania Peoples’ Defence Force was created in September 1964. From its inception, it was ingrained in...
Habari ya hapo ulipo,natumai umzima wa afya.
Teknolojia ni tawi moja katika matawi ya sayansi linalohusiana na elimu ya ufundi kwa maana ya kuvumbua kitu kipya ili kurahisisha maisha ya wanadamu...
Radar na satelite zinafanyaje kazi zake?
Tumezisikia zikitumika kwenye vita na mfumo mziwa wa habari.
Kazi yake hasa kubwa ya satelite ni kufanya mawasiliano na kupiga picha sehemu mbalimbali za...
Juzi Taifa limepata msiba kwa kupotelewa na mkuu wa Freemason Tanzania kama sio EA mzee Chande. Mkuu wa Taasisi/Club/Dhehebu ambalo Mkuu wake anafahamika lakini waumini au members zake...
mwanasiasa huyu muitaliano aliandika kitabu hiki mwaka 1513. kwa tuliokisoma tujuzane kanuni za humo ndani. Cc MALCOM LUMUMBA, MSEZA MKULU, nyumba kubwa
I call upon all you people out there, critics of religion, people who prefer reason to bullshit, let's come together and discuss and analyze and share our thoughts on religion and faith related...
Mungu alipomuumba mwanadamu alikuwa na mpango mzuri.. alimuumba adam na eva akawaweka katika bustani ya eden. ikiwa na hali ya hewa nzuri, ikiwa na wanyama na matunda na kila aina ya uzuri. lengo...
Nini lilikuwa lengo la Mungu kumuumba mwanamke na mwaume?
Sio kutoa kiumbe kinachofanana nao ili kulinda kizazi? Ili vizazi vya binadamu visipotee kwenye uso wa dunia?
Je tunaitumia ngono...
Makala hii imetoka kwenye gazeti la Tanzania Daima (hard copy) lakini kwenye mtandao haikuwekwa.
TAIFA LILIPOTEKWA NYARA, USALAMA WA TAIFA WALIKUWA WAPI?
Na. M. M. Mwanakijiji
Ningependa...
Mnamo miaka ya 470 BC, Mwanafalsafa mmoja wa kigiriki,kwa jina Empedocles,aliamini kuwa Ulimwengu na kila kitu kilichopo vimeundwa na vitu vikuu vinne; Maji,udongo,moto na upepo kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.