Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Bei ya heroin na cocaine imeogezeka baada vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya kusababisha upungufu wa madawa hayo. Kwa mujibu wa msaidizi mkuu wa kitengo cha polisi cha kupambana na madawa...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
Wanajamvi, Habarini za jioni, mimi ni mmojawapo wa wananchi aliyekaidi agizo la Bw. Membe kwa kuwa nililazimika kuleta nyanya zangu tka shamba. Sijabahatika sana kuona msafara wala video ila...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
1. Jamal Saeed Abdul Rahim was indicted in the District of Columbia for his alleged role in the September 5, 1986, hijacking of Pan American World Airways Flight 73 during a stop in Karachi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kutokea tukio la Arusha la kanisa kupigwa bomu nilipitia kwenye Blog kadhaa zote zikiwa zimeandika aliyerusha bomu alishuka kwenye hiace akiwa na kanzu akarusha bomu halafu akakimbia...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Mimi sio mkazi wa Temeke ila kutokana na shughuli zangu kuna wakati nashinda sana eneo hilo.katika utafiti wangu usio rasim nimegundua vijana wengi wa eneo hilo wanajihusisha na uzaji wa madawa...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Kwa mtazamo wa kawaida, madawa ya kulevya ni kitu kinachopigwa vita sana. lakini kiuhalisia haiko hivyo. Kwani watu wanauza madawa haya peupe bila woga wala wasiwasi. Nani yuko nyuma ya biashara...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu Salaaam Nchi kama China kabla haijafikia ilipo leo makampuni makubwa ya kwanza yalichochea maendelo ilikuwa ni ya jeshi. BAE ya UK ambayo ni kampuni iliyoajiiri waingereza wengi ni...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
MUNGU, KIZA NA ULIMWENGU.(100) 1. Naomba kusimulia, Mambo yanayo tukia, Katika yetu dunia, Usiku ukiingia. 2. Kiza kikiinukia, Wasiwasi huningia, Sababu usiku njia, Kifo anayo tumia. 3. Kuna vitu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Poleni na Mihangaiko ya Dunia hii. Okay leo nina swali kuhusu suala la siku ya kufufuliwa wanadamu wote. (Kwa wale wanaoamini kua baada ya kifo kuna siku ambayo...
2 Reactions
130 Replies
13K Views
Utafiti ulifanywa na timu tatu tofauti za watafiti umetoa jumuisho kuwa binadamu wa sasa waliopo ulimwenguni asili yao ni Afrika. Utafiti uliohusisha mchanganuo wa kijenetiki wa watu 787 toka...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hizi ndo nchi saba Trump alizozizuia kuingia America kwa madai ni za kigaidi. – Syria, Iran, Iraq, Libya, Somalia, Yemen, Sudan. Katika hizo nchi, nchi 5 tayari America ameshazivamia na kuharibu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika upana wa mada hii, nitajaribu kugusia sehemu ndogo sana ambayo ni muhimu sana, namna ya kutatua matatizo kwa njia sahihi. Siandiki hatua za kutatua changamoto zako ila nitakuorodheshea...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
[http://raiamwema] [https://aka-cdn] Ni kwa nini Israel ina jeshi la kisasa zaidi kwa teknolojia duniani FEB 01, 2017by MWANDISHI WETUin MAKALA [Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Ni matumaini yangu kwamba nyote hamjambo na kwamba Mungu anazidi kuwabariki. Wakuu, katika kusoma vitu mbalimbali wiki hii nimekutana na simulizi moja katika biblia (MWANZO 30:14-16)...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Why should I live? ( kwa nini niishi na kwa nini ninaishi?) who am I?(mimi ni nani?)What is the purpose of life? Ukishindwa kupata majibu ya maswali haya basi kifo cha kujinyonga (suicide death)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kuangalia CSI, na channels za CI na ID, nimebaki najiuliza, ivi? kuna serial killers hapa Tanzania? nikakumbuka miaka ya nyuma, kulikuwa na stories za mtu anaua changudoa na kuwaacha...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wakuu, natumai mnaendelea vizuri na sikuku za christmas na wale ndugu zangu na mimi tunapiga kazi kama kawaida. Nimeanzisha huu uzi ili tubadilishane uzoefu na elimu kuhusu taifa ili la...
3 Reactions
26 Replies
8K Views
WANASAYANSI wa Kituo cha Anga cha Marekani (NASA), wamegundua jiwe kubwa lenye utajiri wa kutisha wa madini ya aina mbalimbali linaloelea angani. Thamani ya utajiri wa madini yaliyopo katika jiwe...
13 Reactions
71 Replies
14K Views
Salaam ndugu, Huu uzi nimeanzisha kwa madhumuni ya kuwasaidia wale wasio na imani kwa MUNGU kutokana na sababu kadha wa kadha walizonazo. Kwa kuanzia, naanza na maswali yanayoweza kuanza kujenga...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
North Korea 2004, Treni ya mizigo ilikuwa ikisafiri katika moja ya miji yake iliyopatikana kaskazini mwa nchi hiyo iliyogubikwa na inayoendelea kugubikwa na usiri mkubwa juu ya mambo yake...
56 Reactions
152 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…