Fani ya ujasusi inakua siku hadi siku na kila kukicha zinaibuka mbinu mpya za kiulinzi.
Hiyo mikono ya bodyguard wa Rais Trump haiendani na mwendo wa mwili, ni mikono bandia, mikono halisi...
Wengi wamekuwa wakishangaa ni kwa nini macho huonekana mekundu kwenye picha pindi wanapopiga picha hususani nyakati za usiku kwa kutumia kamera yenye mwanga(flash).
Wakati wa giza mboni ya jicho...
Kazi kubwa ya mashirika ya kijasusi ni kukusanya, kuchambua na kuzifanyia kazi taarifa mbalimbali kwa ajili ya usalama wa taifa lolote na watu wake. mashirika yafuatayo yanaongoza kwa kuwa na...
Sayansi ya Teknolojia ikiwa inaendelea kushika kasi siku hadi siku, chumba hiki maalum kilichojengwa juu ya safu za milima ya Alpine iliyopo Ufaransa kimepata kuwa kivutio kikubwa kwa watalii...
NCHI ZINAZOMILIKI AIRCRAFT CARRIER DUNIANI NA IDADI
Na Thabit Karim Muqbell
Dunia ina aircraft 19 zinazofanya kazi, lakini zilitengenezwa nyingi huko miaka ya nyuma. Uchakavu na teknolojia duni...
Danger is all around us all of the time. Freak accidents are rare, but people have been killed unexpectedly by lighting strikes, flash floods, and even sinkholes! Then there are the internal...
Upende usipende, lazima ukiri kwamba Ecowas ni wanaume na hawataki unafiki, tofauti sana na chombo hiki kattika eneo letu, SADC.
Siku zote nimewaona SADC kuwa ni wanafiki waliopo kwa ajili ya...
Shirika la Ujasusi la Marekani limetoa nyaraka zenye jumla ya kurasa milioni 12 zikionyesha jinsi nchi hiyo ilivyokuwa ikiifanyia ujasusi Tanzania.
Katika nyaraka hizo zimeonye pia namna taifa la...
Habari za Asubuhi Wadau....?
Ukiwa umebarikiwa kuiona siku Hii salama na umejiandaa na kupambana na umasikini kwa leo, Fanya yote hayo ila usisahau kunifafanulia "Kwanini Kuwe na Mtu MWEUSI na...
Msaada au maoni ya kitaalam kuh ujenzi wa nyumba kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi.Nimeamua kutafakari nanyi
wenzangu wa JAMII INTELLIGENCE kwa maana ukitaka kwenda mbio lazima uagane na...
Habari wakuu..?
"no jesus no life"
Huu msemo nimekuwa nikiusikia kwa watu mbalimbali,fikra zangu zimenivuta niujadili.
Kwanza kabisa kwa nijuavyo mimi life-maisha means uhai.
Nachotaka kujua huyo...
jf
Kuna minong'ono kadhaa jinsi ya maafisa hao wanavyoweza kutambuana popote pale duniani wengine wanasema wana lugha zao wengine kwa kuangaliana tu ,wajuvi wa mambo wanijuze katika somo hili
Naomba mwenye ufahamu ama jibu MFANO ikitokea katika Uchaguzi ujao wa 2020 Rais aliyepo kama anavyofahamika ni wa awamu ya 5 akashindwa uchaguzi je atayechukua madaraka atafaa kuitwa Rais wa...
Manabii wote waliotangulia walivaa kanzu.
Halikadhalika kinamama na kinadada wema wote waliotangulia akiwepo bikra Maria walijistiri kwa vazi la heshima la hijabu.
Je vazi hili ni takatifu ...
Inasikitisha sana kuona shehena kubwa ya bidhaa mbalimbali zinaingia nchini kutokea zanzibar kimagendo. Inasikitisha zaidi kuona shehena zinazokamatwa ni tone tu ya hali halisi.
Iweje nchi...
Vodacom's elite network
Stefaans Brümmer
15 April 2007 11:59
Vodacom's connectivity -- the cellphone group's habit of choosing politicians and their friends as business partners -- extends to...
Yahya Jammeh hana jeshi la kumtisha mtu, ana kajeshi ambako hakawezi kupambana na "Jeshi". Jeshi la Gambia linao wanajeshi wapatao 1000 tu ambao wanaweza kusaidiwa na kikosi cha askari 1200 wa...