Habari wanajamvi humu,
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza sana.
Labda niseme kuwa ninavyoelewa kuwa ushirikina na uchawi hutumia mitishamba na tech zao katika kuharibu na kuroga watu.
Pia...
Wakuu heshima yenu,naomba msaada wenu katka jambo hili tafadhalini. Jambo lenyewe ni hili "ikiwa nafahamu mwaka na mwezi niliozaliwa. Je kuna njia yeyote ya kujua siku niliozaliwa.
Hope watundu...
Uhusiano wa nazi ya Hitler, Freemason na uchaguzi wa CCM na Tanzania
Ndugu Watanzania na wanamageuzi wenzangu na haswaaa vijanaa tupime kila kitu kwa jicho la tatu tujikumbushe huu msemo wa...
CCM iliyojengwa juu ya ufalme wa shetani kupitia ktk udhamini wa waganga wa kienyeji inatenda km shetani...Imeviambia vyama vingine viisujudie na kuiheshimu ili vile mema ya nchi .Vyama vingine...
LEO TUPATE ELIMU KUHUSU KUNDI LA JESUIT kundi la ‘Jesuit Society' maana wao ndio waliomfundisha Adam Weishaupt ambaye ni muasisi wa Illuminati. Shirika la Jesuits lilianzishwa na Ignatius...
Kuanzia pikipiki ya askari wa usalama barabarani hadi gari ya mwisho ya kwenye msafara, mwendokasi unaogofya. Mwendokasi wa msafara kama wa Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na wengineo huwa kati...
Katika kipindi ambacho watu wameitembea JamiiForums basi ni jana na leo kwa sababu updates zote zinatoka humu na kusambaa kwenye mitandao mingine.
Pia leo ndio umeonekana umuhimu wa kuwa na ID...
Hadithi ya Ugiriki, mikopo, madeni yaliyoshindikana na Demokrasia ya Wananchi katika kuamua hatma ya nchi yao kulipa au kutolipa inatoa funzo linalopaswa kuigwa haraka sana na Serikali za nchi za...
Heshima kwenu wanajukwaa,
Katika kusoma kwangu tulipewa kazi ya kuongelea falsafa mbali mbali za duniani hapa hususani mtu alitakiwa aongelee any political and legal theory which is particular and...
DAWA NA MATIBABU KWA KUTUMIA MAWE
1. Mawe yana nguvu kubwa ya kupunguza ukali wa nguvu mbaya ambayo husababishwa na sayari, Mawe husaidia kutibu maradhi mbali mbali lakini unatakiwa kua...
Uhusiano kati ya Uhalisia Mawazo na Hisia.
Huwezi kuwa na hisia bila kuwa na wazo.
Kauli ni sawa na kusema kuwa hisia hutokea baada ya wazo kuwepo. Ikiwa na maana kuwa wazo hupelekea hisia...
Nina rafiki yangu ni msomi wa Falisafa, anasimulia kuwa kipindi anasoma masomo hayo pasua kichwa pale Morogoro, siku moja muhadhiri aliingia darasani na mishumaa akaiwasha na akawaambia wanafunzi...
Habarini wana Intelijenisia...
Katika thread hii nitajaribu kufupisha maana ina mambo mengi sana. Tutajuzana zaidi pindi tutapojadili kwa pamoja. Moja kwa moja nataka nilete hii mada tupate...
Kusingekuwa na majina ya siku binadamu asingewaza kupumzika weekend. Kusingekuwa na miezi binadamu asingewaza likizo. Kusingekuwa na tarehe binadamu asingewaza sikukuu atapumzikaje. Kusingekuwa na...
Wanajamvi mnisaidie hii,mala kadhaa hukuta mtu anakua na hofu,ni kama kitu ndani yake humsababishia kutokujiamini kwa mambo mengi na hata jambo dogo laweza kumyumbisha na kujikuta akiishi kwa hofu...
Dalili Kubwa ya matatizo ya akili ni kusikia sauti zisizoeleweka ingawa ukweli ni kuwa wengine husikia sauti zilizo katika mpangilio maalumu na zilizo hai/current(yaani mtu akikupigisha story na...