Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Habari gani wandugu! Ningependa kujua kipi muhimu cha kufanya unapokuwa kwwnye kanisa la kiroho ili kuweza kupata delivarance kutoka katika uchawi na majini machafu!? Maana kuna watu hawapati...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello Wadau, Kwa siku za hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa la waendesha pikipiki aka bodaboda. Hatukatai ni ajira ambayo imewawezesha vijana wengi kujiajiri. Ila tutambue ya kwamba kitu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie mbinu mbalimbali ili niweze kujua kingereza kwa ufasaha..
0 Reactions
30 Replies
12K Views
Adhabu ya kifoni mauaji ya mwanadamu yanayotekelezwa na serikalibaada ya mahakamaimetoa hukumu ya mauti kulingana na sheria ya nchi. Kwa kawaida adhabu hii inatolewa kwa jinai nzito sana. Sababu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamii intelligence Bahati sio neno jipya tumezoea kusikia misemo kadha wa kadha kuhusu bahati mfano ana bahati nzuri ana bahati mbaya nk Napata maswali mengi kuhusu hii bahati 1. bahati...
3 Reactions
63 Replies
11K Views
Wana jamvi Nilipata kusikia habari za "STARGATES" kama kifaa kinachoweza kukusafirisha kwa haraka kwenda sayari nyingine ama katika vyombo wanapoishi alliens kulingana na namba utakazodial Pia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama Wiki moja ina siku 7, mwezi mmoja una wiki 4, kwa maana hiyo mwezi mmoja una siku 28. Swali langu ni hili: kwanini miezi mingi ina 30 na 31 days? na kama mwezi mmoja una siku 28, basi mwaka...
0 Reactions
15 Replies
14K Views
THE world is awash with conspiracy theories: Malaysia Airlines flight 17 was diverted by the CIA; drug companies are preventing the release of natural cures for cancer; Queen Elizabeth is part of...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
SALAAM ! Wanawezaji kupambana na kitu kisichokuwepo?Does their presence not confirm God's existance.Napenda kujua hili.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CIA report warned assassination programme might backfire Press release WikiLeaks today, Thursday 18 December, publishes a review by the Central Intelligence Agency (CIA) of its "High Value Target"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo saa 10:11 jioni nimetumiwa meseji ya kitapeli kutoka namba +255684475742. Meseji inasomeka hivi: +15092142532: Your Mobile No has won 1,000,000 Dollars in Coca Cola USA, to claim send your...
2 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari zenu wanajamvi ? Samahani kwa usumbufu, ninavyofahamu mimi kutokana na Imani yangu ya Kikiristo(Sijui kwa dini zingine ) Sipaswi kuogopa kifo kwa sababu lipo tumaini kuwa Yesu atarudi tena...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni rahisi sana kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi katika maisha yako kuwa rafiki wa kweli. Jitahidi. Jaribu haya machache; 1. Hupendi anachokipost: Usitukane. Usimkebehi. Usimseme kwa rafiki zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Kalunde Jamal, Mwananchi KWA UFUPI Wanandoa kuendekeza tofauti zao mbele ya watoto, huwafanya watoto wajenge tabia ya kutojali Agatha na mumewe Jackob wanaishi katika nyumba ya kupanga...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa nikishuhudia mashirika/idara za usalama za nchi nyingine particulary US and UK zikitoa baadhi ya classified intelligence documents baada ya kipindi fulani. Mfano mzuri ni documents za...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekua najiulia kwanini jina la waziri wa mazigira halipo katika majina ya baraza la mawaziri katika tovuti ya ikulu wala katibu mkuu kiongozi, je amesahulika, sababu si maaruu,maana huku wanachi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna kitu kinanichanganya, wahalifu wakienda kuvamia sehemu uficha sehemu na kubakisha macho wakidhani hawatatambuliwa kwa kuonwa macho magazeti yakitoa picha yakitaka mtu asitambuliwe huficha...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Tangu zaman tumekuwa tukitumia vocha....na vocha ni codes. tangu nimiliki sim. ni miaka 10+now.... na ninejarbu kubashir lkn nimekosa..... 1.je ni njia gan inatumika ku create hizi codes? 2...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Unaweza kupata shida kuona athari ya hili mpaka usafiri kidogo. Ukimwambia mtu kwa mfano unapata Mshahara wa Mtz kwa mwezi wa Tsh milioni moja anashtuka kwa kuwa yeye huo ni mshahara wa mwaka...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
What is Karma? Karma is the Sanskrit word for action. It is equivalent to Newton's law of ‘every action must have a reaction'. When we think, speak or act we initiate a force that will...
10 Reactions
49 Replies
10K Views
Back
Top Bottom