Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Balozi wa Umoja wa Mataifa, Augustine Maiga, akitoa mada wakati maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani yaliyojadili Nafasi ya Vijana katika Kudumisha Amani yaliyofanyika mkoani Dodoma jana. Kulia...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Fortune 5: The biggest organized crime groups in the world...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jamvi naombeni kujuzwa kuhusu kile kijumba cheusi kinachozungukwa ma watu wengi. Hivi ni kitu gani? Historia yake kama kuna yeyote anayeelewa? Kuna baadhi ya watu wanasema ndipo ibrahimu...
0 Reactions
24 Replies
14K Views
Kwanza napenda kumpongeza Prof Assad kwa kuteuliwa kuwa CAG mpya... Kwa jinsi huyu bwana alivyoshika dini, sijui watakaotaka kumuhonga wataanzia wapi. Ni msomi asiye na makuu wala tamaa za mali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi. Mwenye...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Wadau, Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza: 1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Wanajf nataka kujuzwa kwanini hiitwe BAHARI NYEKU[RED SEA] na isiitwe jina lake la awali BAHARI YA SHAM [SHAM SEA]?kuna Siri Gani Hapa? Na Kwa Nini? Source=RAMANI YA DUNIA [THE WORLD MAP]
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Wanajamvi, Upo ushahidi wa kihistoria kuwa baadhi ya jamii zimewahi kuridhia na kuwatumia binadamu wenzao kama kitoweo Cannibalism - Wikipedia, the free encyclopedia pia kuna matukio...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu. Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea. Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini? Lengo...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
The rule of disinformation: "Fabrication of false/altenative evidence. Whenever possible; introduce new facts or Clues disigned and manufactured to conflict with opponent presentation as useful...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
A new Russian jet fighter, using stealth technology designed to conceal the plane from radar, is being called a "super weapon" by military experts who say that the fifth-generation Russian fighter...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Katika chambua chambua yangu katika pages mbali mbali za internate, nimekuja kugundua kuwa Dunia yetu inaongozwa na group fulani la watu wanaojiita "High masters" chini ya...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Kuna senario fulani ilinitokea mpaka sasa hivi ninashindwa kuelewa. Ilinitokea kama wiki 2 hvi zilizopita. Tulikuwa 3 tunatembea kuelekea stand ya bus. Tukawa tunapiga mastori ya zamani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshahudhuria mara nyingi maombezi ya watu wanye kutolewa mapepo kwa jina la YESU na nimeshuhudia kabisa watu wakati wanatolewa wakiongea mambo mengi na wengine kujipinda kama nyoka na mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kitu ambacho nimejifunza hivi karibuni ni kuwa, media nyingi zinaitegemea kwa karibu asilimia 30 jamii forums kama source yao ya habari na input nyingine za kuandaa vipindi kama vile vya mapenzi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Iwe kitandani, kwenye jeneza, kwenye mkeka au sakafuni, mwili wa marehemu hulazwa chalichali. Kwanini huwa haulazwi kifudifudi ?
1 Reactions
57 Replies
14K Views
Nilikuwa naomba kujuzwa maana ya meditation kinagaubaga faida zake, na asili yake.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu, humu JF nilikuwa napata story kuhusu sayari na nyota (solar system). Ilikuwa ngumu kuelewa kuwa jua letu ni mojawapo kati ya mamilion ya nyota (majua) na dunia yetu ni mojawapo ya mabilioni...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habarini za muda huu jamani? Tangu ile ndege ya malysia ipotee ktika mazingira yakutatanisha na dunia ukiri kusumbuka kutafuta bila mafanikio ni swali najiuliza kwamba je, technology ya ulimwengu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Usafiri wa ungo upo wa aina nyingi, upo usafiri wa ungo unaotumia wanyama, upo usafiri wa kutumia fagio, upo usafiri wa kutumia fimbo, upo usafiri wa kutumia ungo. Wachawi wote wana roho ya...
0 Reactions
27 Replies
16K Views
Back
Top Bottom