Katika pitapitaa ndani ya magazeti yasiyo na mlengo wowote bali kuelisha jamii nimekuta na newz kuwa wafadhili wakuu wa REDET ambayo imekua ikishutumiwa kwa kuchakachua matokeo ya tafiti zake ili...
Huyu alikuwa mjumbe wa kamati kuu ya CCM.
Alifariki dunia 2010 kifo chake kina utata sana kwani vyombo vya habari vililipoti tofauti kabisa na uhalisia wa kifo chake.
Jamani naleta kwenu huu...
Nimelitafakari hili swala la madawa ya kulevya hapo JK Nyerere Airport, na kuliwazua tena.
Lakini mwishowe naona hali ya kutisha kidogo.
Kwamba imekuwa kawaida kwa madawa kupitishwa hapo "by...
Inavyosemekana katika mitaa ya weusi waliokata tamaa pale SA, wanaamini mandela halisi alishafia jela (walimuua kwa siri) na makaburu wakatafuta mtu aliye shabihiana naye waka mtrain kwa...
The Value of Time
To realize the value of ONE YEAR, ask a student who failed a grade.
To realize the value of ONE MONTH, ask a mother who has given birth to a premature baby.
...
To realize the...
Being an Intelligence officer means being a spy. You do the kind of things, like surveillance, and analyzing to help your country. However, there are a lot of myths about being an intelligence...
Tumekua tukifundishwa toka primary kuwa mwaka mrefu una jumla ya siku 366 na ule mfupi una siku 365 na robo(1/4).
Sina shida katika mwaka mrefu, tatizo naliona hapo kwenye mwaka mfupi, siku 365...
Mara nyingi katika jamii mbali mbali ambazo hupenda wanyama na kuwafanya rafiki zao na kufanya wengine hata kutembea nao njiani. Ni kwa nini wanaume karibu mara zote hutembea zaidi na mba kuliko...
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu,
Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi...
wana JF ningeomba hapa mnijuze wale mnaoelewa hilijambo kwa undani zaidi manake najiuliza sijui ni utumwa ama nini?, manake siielewi hii, kukuta saa inaandikwa nane(8) lakini inasomwa mbili(2)...
Waheshimiwa nawasalim, poleni na Majukumu,
Mimi naitwa Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza.
Waheshimiwa, hii ni mara yangu ya tatu najitokeza hadharani Kuomba Kuonana nanyi Uso Kwa Uso...
Habari wakuu, kama nlivyoeleza hapo juu, nataka tubadilishane mawazo kuhusu watu wenye tabia za phlegmatic,
Nimepitia mitandao tofauti ya kisaikolojia. lakini nikakuta kila mtandao unaeleza kwa...
Kwa hakika nchi yetu Tanzania tunaipenda lakini mahali na hali tuliyofikia ni mbaya.
Swala la vita tumeanza kulizungumza kama utani utani kama mtu na mkewe chumbani.serikali nayi msimamo wake...
G8 Brings Big Ag Colonialism to Africa
Corporate food initiative in Africa will be 'a disaster like you can't imagine,' critics warn
- Jacob Chamberlain, staff writer
Food sovereignty...
Nina swali kwa wale wanaojua historia vizuri. Maana mi bado sijajua kwanini katika Mabara haya ya dunia. Kila bara lina watu fulani wenye asili moja. Mfano Afrika Kwanini asilimia 90% ya bara zima...
Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani?
Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho?
Kama hawazihatibu...
1. The average human life is relatively short.
2. You will only ever live the life you create for yourself.
3. Being busy does NOT mean being productive.
4. Some kind of failure...
Picha waliyoiweka kwenye akaunti yao (Wataliban) ya Twitter, inaonyesha Mbwa mdogo wa hudhurungi akiwa na kamba ndogo shingoni. Taliban wanasema kuwa Mbwa huyo kwa jina, 'Kanali' alikamatwa usiku...