Hivi hakuna mtu wa kuanzisha chombo cha kufuatilia na kutunza matukio makubwa yanayotikisha Nchi? Chombo hiki kingetusaidia kutunza kumbukumbu na ufuatiliaji hivyo kutokusahau haraka mambo kabla...
Hivi tujiulize,Raisi asieweza hata kuwakamata na kuhakikisha wauza madawa ya kulevya na wezi wa EPA ndani ya nchi ataweza kweli kuongoza majeshi yetu katika vita dhidi ya taifa lingine?
Wabongo...
Mimi binafsi namkubali sana huyu mtanzania mwenzetu na namtakia mafanikio mema.
Tuanze hapa.
Salim ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika Shirika la Habari la Uingereza (BBC)...
Jamani mimi ni mtaalamu wa nadharia za njama (ConsipiracyTheoretician) by profession lakini pamoja na facts nilizo nazo, nimejaribukutengeneza theory kibao kuhusiana nakutekwa kwa Kibanda, lakini...
Ndugu wana JF.
Napenda kuwatangazia kwamba kuna watu wanatumia mitandao ya simu kuwaibia watu kwa kuwapa taarifa mbali mbali za kizushi. hivi leo nilikuwa nyumbani mara akaja jirani yangu akitaka...
Hii annex (attached) kutoka kwenye report ya Umoja wa Mataifa ndiyo inayomsumbua Kagame. Kwani heshima yake haipo tena kutokana na hii report. Atahangaika sana lakini kwakweli kimeishasanuka maana...
After Kikwete's speech, Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo was quoted by Radio France Internationale (RFI) suggesting Kikwete could be an FDLR sympathiser and was adamant that Rwanda...
Nimeona leo kwenye tv na kusoma kwenye vyombo mbali mbali kuwa magaidi wana panga kushambulia balozi za marekani na vivutio vya utalii kipindi hiki cha mwezi agost.
Wametaja nchi zilizokuwa...
Tumesikia mengi yakihusu majeshi na police kuhusika katika usafirishaji wa nyara za serikali kama pembe za ndovu.
Hayajapoa kabisa massaa chini ya 40 police wa oasterbay ni miongoni mwa watu 9...
Saturday, July 5, 2013
Jeshi la Polisi nchini limemtia mbaroni mtu mmoja mjini Mbeya anayedaiwa kuhusika na vitendo vya ugaidi akiwa na hati mbili za kusafiria, na mwingine Mtanzania adakwa...
kukiwa takribani mwezi mmoja tangu wananchi watangaziwe ujio wa fbi kuja kuchunguza mlipuko wa bomu na kisha kushambuliwa kwa smg na bastola wanamchi waliojitokeza kwenye mkutano wa chama cha...
Imekua kama ni ada kwa serikali ya tanzania kukaa kimya hata kwa mambo serious yanayotekea uko duniani hata kama mabo hayo si siri tena kwa level ya uwazi dunia ilipofikia... sijui wanadhan bado...
Mara tu baada ya mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema arusha zilitoka kauli nyingi kutoka kwa wahusika.Sijui kama zilikuwa kweli au ulikuwa unafiki.Iliundwa tume ya kipolisi ikiongozwa na...
Kwa muda mmrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuwa jeshi la Police limekuwa likitumiwa kisiasa na chama tawala,lakini kauli hizo zimekuwa zikipuuzwa. Kutokana na hali hiyo nimepata maswali...
Hivi Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake wameshitakiwa kwa kosa la uhaini au ugaidi au mauaji ndio maana hata sasa wako rumande? Mwenye kujua anijulishe. Hivi watetea haki za kibinadamu wa...
Kuanzia mwaka huu vyuo havita ruhusiwa kudahiri wanafunzi ambao hawajapitia jeshi (fresh fom the school) kama bunge lilivyo pitisha.
Ila utaratibu huu umelalamikiwa na wengi sana, Kwanza baadhi...
Katika soma soma zangu nimeona jinsi ujasusi wa kiteknolojia na kiuchumi ilivyoisaidia china kufika hapo ilipo. Lakini Nimekuwa najiuliza je serikali yetu ya Tanzani inao majasusi wa aina hii...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye...
Haya ni maoni ya msemaji wa jeshi letu la ulinzi, JWTZ;
Wanajeshi wanapomaliza mafunzo yao kitu cha kwanza wanachokabidhiwa ni rungu kwa ajili ya kutimiza wajibu ikiwamo kudhibiti vurugu, huku...
Ndugu Wana JF
Kwanza ni declare interest..mimi ni Private Detective nina degree ya criminology kutoka chuo kimoja huko Salt Lake nchini America.....nina takribani mwaka mmoja toka nimerudi nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.