Na Josephat Isango
HARAKATI za Jeshi la Polisi kuishinikiza CHADEMA kuwasilisha ushahidi unaolituhumu jeshi hilo kuhusika na mlipuko wa bomu mkoani Arusha hivi karibuni na kuua watu wanne...
Salaam wakuu,
Juzi kuna mdogo wangu alikuja na documentary flani ya jamaa anaitwa Jesse Ventura ambae ana documentary kadhaa kuhusu conspiracy theories eg. Global warming, Time travel etc...
Ndugu zangu,
Naamini kila mtanzania hivi sasa ni shahidi wa matukio ambayo yamekuwa yakijitokeza nchini kwa kuwahusisha polisi. Pamoja na mfululizo wa polisi kuua watu kwenye mikutano ya...
JE? UMESHAJIULIZA NI KWANINI SERIKALI HAIWAPI WANANCHI TAARIFA HIZI NA BADALAYAKE HUKAANAZO KIMYA BILA YA KUZITAO KWA WANANCHI WAKE?
WATANZANIA ambao idadi yao inaweza kupita mamia...
Tangu nirudi hapa Tanzania nimeshuhudia magari mengi binafsi yakiwa na madirisha giza yaani tinted, nimejiuliza sababu za msingi ni nini nikakosa jibu.
Kwa mwenye kuelewa atuelimishe nadhani wengi...
Heshima zenu wakuu..nasumbuliwa na fikra za kutaka kumjua baba yangu mzazi maana tangu nimezaliwa sikuwahi kumuona wala kumsikia nimelelewa na wajomba na mama pekee..nafikiria kumweleza mama...
"Mtanzania anaweza kutoka na biashara yake kuja kuuza Afrika Kusini, baada ya hapo anapanda ndege ya moja kwa moja kwenda China. Akiwa uwanja wa ndege anakutana na Mnigeria muuza madawa ya...
Mwandishi wa Gazeti Uhuru anayejulikana kwa jina Selina Wilson alienda makumbusho ambako kulikuwa na ugeni mzito wa Mke wa Obama Michelle Obama kwa mwenyeji wake Salma Kikwete. Selina alikuwa na...
Rwanda ipo wapi jamani?
10. Uganda:
9. Kenya: Kenya is the second strongest Nation in East Africa Economically
8. Ghana:
7. Ethiopia: Ethiopia once was considered the strongest country in East...
1. Kutekwa na kuteswa kwa ULIMBOKA, chadema walikuwa mstari wa mbele kuitaka serikali iunde tume huru ya kuchunguza tukio hili. Hii ni sifa, tabia na janja ya kikundi chochote cha kigaidi kwani...
TUNAO USHAIDI WA PICHA KUWA CHAMA TAWALA KINA KIKUNDI CHA WAASI AMBAO WANAITWA GREEN GUARD,KAMA KWELI VYOMBO VYA ULINZI YAANI, POLISI,TIS NA JWTZ NI WAWAJIBIKAJI TUNAOMBA MTUPE MAELEKEZO YA KINA...
Mankind has always had a semi-violent nature as its driving force. Over the years, people have obsessed over finding the best ways to dispense of adversaries as well as win conflicts amongst...
Habari zenu wadau wa jf
Kama heading ilivyo kiuchunguzi changu kisicho rasmi kinaonyesha kama hivyo,vijana wengi walio chini ya umri wa 25 yrs wanatabia za kupenda kusema uongo sana japo sio...
Hivi karibuni TCRA imesisitiza kutokuwapa mawasiliano wanaotumia namba za Simu ambazo hazijasajiliwa tena kwa kutumia vitambulisho halali vya wateja. hii ina maanisha hakuna MTZ anayetumia Simu...
Kuna habari ya kushtua nimeipata karibuni.
Inadaiwa kwamba vijana wa kitengo cha IT kinachosimamia Tigopesa wamekuwa wakiwaibia wateja wanaotumia huduma hiyo kwa kupunguza salio kidogo kidogo...
Leo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha...
Huyu ndo MTUHUMIWA NAMBA MOJA WA BOMU LA ARUSHA AMEFIKISHWA MAHAKAMANI LEO NA KUSOMEWA MASHITAKA 21
Mtuhumiwa mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko...
Nauliza kwanini waandishi wa tanzania nao hawawai wabunifu na kuanza kutupatia makala za kiintelijensia ambazo zingejibu maswali mengi wanasiasa wanaowalisha wananchi.....
Moha wa jicho pevu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.