Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Majukumu ya JWTZ JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JWTZ lina majukumu yafuatayo: Kulinda Katiba na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
WAKUU: 1. Mtakumbuka kuwa hapa nchini kulikuwa na kashfa ya mke wa kamishna wa polisi mwandamizi aliyejipatia kipato kwa kuwalaghai vijana nchini kuwa watoe pesa ndiyo awatafutie ajira usalama...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Majukumu ya JWTZ JWTZ lilianzishwa tarehe 01 Septemba, 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru, na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JWTZ lina majukumu yafuatayo: a. Kulinda Katiba na...
0 Reactions
14 Replies
13K Views
I have been recently speculating about the connection existing between how the science foresees the earth with respect to how religion tells us about the end of the world. its quite amusing, yet...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
CHADEMA wanafahamika kwa mipango madhubuti na makini. Viongozi wa JUU KABISA ndani ya chama wana sifa ya usiri na umoja. Mara nyingi pale wanapotoka hadharani kuiweka mipango yao huonekana kama...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Kwa atayenipa jumla ya hela ya Tanzania.. Faster..! Ukipatia please Nipe namba yako ya m-Pesa au Tigo Pesa nikutumie sasa hivi..only after two hours from now..! This is 15:20 at 17:30 Kama Hapana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau anaejua kitabu hiki kinapopatikana anipm niliwahi kukisoma miaka kadhaa, maktaba kuu hawana msaada pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Professor SILAS LWAKABAMBA ambaye ni waziri wa ujenzi wa Rwanda ni mnyarwanda wa muda mrefu ila alikaa Tanzania anakula nchi tu kama Mtamzania. ana miliki Ngombe nyingi na heka nyingi sana kAGERA...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Pana jamaa yangu katumiwa meseji , hajajua hao majambazi walipo, wanamwamuru kuwapa pesa kwa simu ya voda, afanyeje ili ajue walipo hao majambazi , kama pana mtu anaweza saidia kujua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sisi watanzania bado tuna imani na jeshi la polisi ila tunaomba majibu au ufafanuzi wa mambo haya yafuatayo uchache. 1:Matokeo ya uchunguzi ya wale askari wa Airport Dar waliotaka kumbabmbikiza...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Taarifa za awali zilizopatikana kwa msaada wa umoja wa afrika(AU) zinasema kuwa bomu lililorushwa kwenye viwanja vya soweto limetengenezwa kiwandani huko jamhuri ya watu wa china. Vipi kuhusu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na matukio ya ugaidi na uhalifu mwingine kuongezeka hapa nchini; je hatuna Intelijensia katika Jeshi la Polisi na katika Idara ya Usalama wa Taifa? Maana vyombo hivi vya dola vinaowajibu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna hili swali ambalo kila wakati nimekuwa nikijiuliza na kukosa usingizi. Ni nini tunahitaji kama taifa? Kwanini tuko pamoja kama Taifa? Mwelekeo wetu ni upi? Je ni kutafuta mkate wetu wa kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwanza nina imani ndogo na uzalendo unaoenda kujengwa kwa vijana huko jkt,,kipindi cha ujamaa walifanikiwa kwa sababu babu aliwabana kwenye kumiliki mali,,wote tukawa sawa, hata ukiiba huwezi...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Leo majira ya saa 22:45 nimepata ujumbe unaosoma, "Raia mwema fuata sheria na taratibu zilizowekwa wakati wa kudai haki yako. Mamlaka husika itakusikiliza ukifuata utaratibu. Utakapozivunja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A good number of police officers, especially those in the lowranks, have very low education standard and worse, they haveno legal and human rights literacy at all. Our random researchshows that...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni aibu, jeshi la polisi halina camera?Bado wana ujasiri wa kuwataka waathirika walete picture?sasa km askari watategema hadi lini picture za waadhirika kuwaadhibu askari wake wanaingia ktk...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu nimepata taarifa za ndani ya kampuni ya uchimbaji wa Tanzanite, Tanzaniteone iliyopo Mererani kuwa watu toka idara ya uhamiaji wameenda kwa uchunguzi wa vibali vya wanaojidai ni ma expert...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Villagers in Bolivia’s southern highlands buried a man live in the grave of the woman he is suspected of having raped and murdered, an official said Thursday. Police had identified 17-year-old...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu! Naomba kujuzwa kama taarifa mbaya ya siri anayoandikiwa mtumishi wa umma na bosi wake inaweza kusababisha madhara kwa mtumishi husika? Hii ni kwa sababu nimekuwa na bosi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom