Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Hivi hakuna mtu wa kuanzisha chombo cha kufuatilia na kutunza matukio makubwa yanayotikisha Nchi? Chombo hiki kingetusaidia kutunza kumbukumbu na ufuatiliaji hivyo kutokusahau haraka mambo kabla...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Hivi tujiulize,Raisi asieweza hata kuwakamata na kuhakikisha wauza madawa ya kulevya na wezi wa EPA ndani ya nchi ataweza kweli kuongoza majeshi yetu katika vita dhidi ya taifa lingine? Wabongo...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Mimi binafsi namkubali sana huyu mtanzania mwenzetu na namtakia mafanikio mema. Tuanze hapa. Salim ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika Shirika la Habari la Uingereza (BBC)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mimi ni mtaalamu wa nadharia za njama (ConsipiracyTheoretician) by profession lakini pamoja na facts nilizo nazo, nimejaribukutengeneza theory kibao kuhusiana nakutekwa kwa Kibanda, lakini...
15 Reactions
56 Replies
9K Views
Ndugu wana JF. Napenda kuwatangazia kwamba kuna watu wanatumia mitandao ya simu kuwaibia watu kwa kuwapa taarifa mbali mbali za kizushi. hivi leo nilikuwa nyumbani mara akaja jirani yangu akitaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii annex (attached) kutoka kwenye report ya Umoja wa Mataifa ndiyo inayomsumbua Kagame. Kwani heshima yake haipo tena kutokana na hii report. Atahangaika sana lakini kwakweli kimeishasanuka maana...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
After Kikwete's speech, Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo was quoted by Radio France Internationale (RFI) suggesting Kikwete could be an FDLR sympathiser and was adamant that Rwanda...
0 Reactions
102 Replies
11K Views
Nimeona leo kwenye tv na kusoma kwenye vyombo mbali mbali kuwa magaidi wana panga kushambulia balozi za marekani na vivutio vya utalii kipindi hiki cha mwezi agost. Wametaja nchi zilizokuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumesikia mengi yakihusu majeshi na police kuhusika katika usafirishaji wa nyara za serikali kama pembe za ndovu. Hayajapoa kabisa massaa chini ya 40 police wa oasterbay ni miongoni mwa watu 9...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Saturday, July 5, 2013 Jeshi la Polisi nchini limemtia mbaroni mtu mmoja mjini Mbeya anayedaiwa kuhusika na vitendo vya ugaidi akiwa na hati mbili za kusafiria, na mwingine Mtanzania adakwa...
2 Reactions
80 Replies
10K Views
kukiwa takribani mwezi mmoja tangu wananchi watangaziwe ujio wa fbi kuja kuchunguza mlipuko wa bomu na kisha kushambuliwa kwa smg na bastola wanamchi waliojitokeza kwenye mkutano wa chama cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Imekua kama ni ada kwa serikali ya tanzania kukaa kimya hata kwa mambo serious yanayotekea uko duniani hata kama mabo hayo si siri tena kwa level ya uwazi dunia ilipofikia... sijui wanadhan bado...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mara tu baada ya mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema arusha zilitoka kauli nyingi kutoka kwa wahusika.Sijui kama zilikuwa kweli au ulikuwa unafiki.Iliundwa tume ya kipolisi ikiongozwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa muda mmrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuwa jeshi la Police limekuwa likitumiwa kisiasa na chama tawala,lakini kauli hizo zimekuwa zikipuuzwa. Kutokana na hali hiyo nimepata maswali...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
Hivi Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake wameshitakiwa kwa kosa la uhaini au ugaidi au mauaji ndio maana hata sasa wako rumande? Mwenye kujua anijulishe. Hivi watetea haki za kibinadamu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia mwaka huu vyuo havita ruhusiwa kudahiri wanafunzi ambao hawajapitia jeshi (fresh fom the school) kama bunge lilivyo pitisha. Ila utaratibu huu umelalamikiwa na wengi sana, Kwanza baadhi...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Closed
Katika soma soma zangu nimeona jinsi ujasusi wa kiteknolojia na kiuchumi ilivyoisaidia china kufika hapo ilipo. Lakini Nimekuwa najiuliza je serikali yetu ya Tanzani inao majasusi wa aina hii...
1 Reactions
100 Replies
25K Views
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Haya ni maoni ya msemaji wa jeshi letu la ulinzi, JWTZ; Wanajeshi wanapomaliza mafunzo yao kitu cha kwanza wanachokabidhiwa ni rungu kwa ajili ya kutimiza wajibu ikiwamo kudhibiti vurugu, huku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Wana JF Kwanza ni declare interest..mimi ni Private Detective nina degree ya criminology kutoka chuo kimoja huko Salt Lake nchini America.....nina takribani mwaka mmoja toka nimerudi nchini...
4 Reactions
59 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…