Hivi karibuni tumesikia kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Mwigulu Nchemba anadaiwa kuwapeleka vijana katika makambi ya Itende na kwingineko ili wapate mafunzo kwa kazi maalumu ya kichama...
This is a technical advice.
There has been tremendous frustrating terroristic and/or gang attacks targeting CHADEMA leaders and its fans during party's campaigns rally, officially renowned as...
nImeikuta hii kwa moja ya blogs leo, nini maoni yako mdau.....
Ndugu wana bodi,wakati nikiwa mdogo enzi za mwalimu kuliwahi kuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS...
Ningekuwa na uwezo wa kuwakusanya waumini wa dini za Kiislam na Kikristo ningewalaumu kwa kugeuka kuwa watumwa wa dini kiasi cha dini kuwapelekesha kinyume na kusudi la Mungu kuhusu uumbaji wa...
Watu wengi hasa waafrika wamekuwa wakifiri marekani ndio sehemu salama kuliko zote kwenye nyanja zote za kimaisha ndio maana kila leo kuna watu wanafikiri hili wafanikiwe au wakitaka kufanikiwa...
Habari wanajamii., naomba kujua nini kitatokea kwa raia anaegomea amri ya askari polisi. Kwa mfano anatuhumiwa kwa kosa fulani na askari akamweka chini ya ulinzi lakini kwa makusudi raia huyu...
They weigh 220 kilograms and there's 10 of them on one plane. Roadside saviors -- you may need a bigger wrench
By CNNGo staff 2 February, 2012
There are many things about air travel we take...
Human Development Index (HDI) - 2012 Rankings
Very High
Human Development
Norway
Australia
United States
Netherlands
Germany
New Zealand
Ireland
Sweden
Switzerland
Japan
Canada
Korea (Republic...
Ni jambo la kustaajabisha sana kuwa intelijensia ya Tanzania ilishindwa kubaini kutokea kwa ghasia kubwa za Mtwara!
Kumetokea nini ndani ya taasisi hiyo nyeti:
Kukosekana kwa weledi?
Kuwapuuza...
Wana JF,
Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo amesema serikali itaendelea na uchimbaji wa madini ya Urani huko Namtumbo mkoani Lindi
Pascal Daures mtaalamu kutoka European Unions amesema...
By Guest, September 10, 2012
Tanzanias Troubling Trend of Land Rights Violations And Evictions.This article highlights the plight of the Maasai in Tanzania who are experiencing land rights...
JINSI YA KUDHIBITI HISIA ZAKO
Nifanye nini ili kuhakikisha sina hisia mbaya?
Unajua jinsia ya kuepukana na fikra mbaya? Je unaweza kudhibiti hisia zako? Jinsi ya kukabiliana na hisia zako...
Ndugu wana JF
Binaadamu ni kiumbe ambae ameubwa mwisho kwa mujiwibu wa vitabu vya dini, kabla ya hapo duniani kulikuwa na viumbe wengine (majini nk), cha ajabu, Muungu aliweka kila kitu...
Nimepokea sms hii leo asubuhi,
Je kuna ukweli au ndo yale mambo yakusahaulishana yanayoendelea mtwara?
Naomba uwe makini kupokea simu. Usipokee endapo utaona namba ngeni usiyoijua hasa hii...
Wana JF maoni katika hili.
He also told followers that Michael Adebolajo, accused of killing Lee in Woolwich, South London, is a nice man.
Police have repeatedly failed to arrest Choudary...
A former switchboard technician at MTN's offices in Kampala went missing.
He was called Andrew Ndawula. Late one evening after work he disappeared mysteriously and has never been seen...
Kuna mambo yanajitokeza kwenye upelelezi wa kesi hizi za mauji Tanzania, na kila mara serikali yetu imekuwa ikituaminisha kuwa inashirikiana na FBI na wapo kwenye eneo la tukio wakisaidiana...
TAFADHALI USIITOE...SI UCHOCHEZI..JUST PURE FACTS FOR DISCUSSION..SIYO KUUKIMBIA UKWELI.
The mass exodus of Christians from the Muslim world
By Raymond Ibrahim
Published May 07, 2013...
WATU wengi huhangaika sana kujua kama wanaifurahisha jamii au wanaiudhi. Wengine wamefikia hatua ya kujiuliza, wamekosea nini watu wanaowazunguka mpaka wakajikuta wamechukiwa? Kisaikolojia fikra...