Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote...
Habari Wana JF.
Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu.
Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo...
CHERNOBYL SERIES(2019)
Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana...
Salute comrades
NB: bandiko hili nimetumia maandiko ya biblia hata kama unaona haikuhusu nakusihi endelea kusoma unaweza pata kitu.
Katika dunia yetu hii tumeona ni sentensi ya maneno kadhaa tu...
Tunatambua juu ya uwepo wa viumbe mbalimbali katika matabaka tofauti tofauti zaidi zaidi tumepata kuyajua haya kwa njia ya imani.
Leo hii tunatambua kuwa kuna kiumbe chenye uhai katika daraja la...
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine
Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP (...
Why is Eve blamed for eating the fruit?
Because people are not good at reading comprehension.
There’s a garden, and in it are a pair of humans, but those humans literally cannot distinguish good...
Habari wakuu
1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate
2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii
3. Hakuna motoni wala mbinguni
4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni...
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa...
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa.
Uchawi
Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi...
Habari Zenu Wanabodi Naileta Kwenu Mada Mpya Ya Lucid Dreams(Uelewa Ndotoni)....
LUCID DREAMS:
KWA KUANZA:
Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani...
Nijuavyo mimi ni kuwa,Mungu si jina bali ni cheo cha juu sana kuliko vyote duniani na ulimwengu wote.Yaani ikitokea chochote/mtu yeyote akaweza kukutimizia mahitaji yako yote pasipo kuzuiliwa na...
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi.
Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo.
Lakini cha kushangaza, kimantiki...
Nimeanzisha uzi huu ili tujaribu kufikiri kwa undani, na kukusanya kila taarifa, clues na chochote tunachokijua kuhusu ulimwengu huu usioonekana.
Chochote unachokijua unakaribishwa kuchangia ili...
Mwili wa binadamu na viumbe wengine wote unahangaika sana na mambo mawili. Kusurvive na kuzaliana. Sasa najiuliza kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa. Kuendeleza kizazi cha ng'ombe...
Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri.
Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi.
Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa...
The original Illuminati were a Bavarian secret society founded in 1776. Their stated goals were, to coin a phrase, “woke”—to eliminate superstition, religious influence over public life, and the...
Habari wa kuu zangu?
Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo
1.Hawajiamini..
Wafikapo madarakani...
Kanuni ya Ubadilishaji (Substitution)
Ubadilishaji wa fikra.
Hii ni kinuni mojawapo ya saikolojia inayohusu sana kubadili fikra, mazoea, hisia na mawazo. Kanuni inasema kuwa vyote hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.