Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote...
2 Reactions
2 Replies
600 Views
Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
CHERNOBYL SERIES(2019) Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Salute comrades NB: bandiko hili nimetumia maandiko ya biblia hata kama unaona haikuhusu nakusihi endelea kusoma unaweza pata kitu. Katika dunia yetu hii tumeona ni sentensi ya maneno kadhaa tu...
143 Reactions
425 Replies
55K Views
Tunatambua juu ya uwepo wa viumbe mbalimbali katika matabaka tofauti tofauti zaidi zaidi tumepata kuyajua haya kwa njia ya imani. Leo hii tunatambua kuwa kuna kiumbe chenye uhai katika daraja la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP (...
36 Reactions
171 Replies
11K Views
Why is Eve blamed for eating the fruit? Because people are not good at reading comprehension. There’s a garden, and in it are a pair of humans, but those humans literally cannot distinguish good...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wakuu 1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate 2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii 3. Hakuna motoni wala mbinguni 4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni...
29 Reactions
154 Replies
8K Views
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa...
15 Reactions
93 Replies
6K Views
Uchawi na akili ni vitu viwili tofauti. Uchawi ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi, wakati akili ni uwezo wa kufikiri na kuelewa. Uchawi Ni imani katika nguvu za kiroho au za kichawi...
13 Reactions
96 Replies
7K Views
Habari Zenu Wanabodi Naileta Kwenu Mada Mpya Ya Lucid Dreams(Uelewa Ndotoni).... LUCID DREAMS: KWA KUANZA: Lucid Dreams Ni Pale Mtu Anapoota Na KujuaKwamba Naota Yani Yupo Ndotoni.. Na Ndani...
15 Reactions
273 Replies
81K Views
Nijuavyo mimi ni kuwa,Mungu si jina bali ni cheo cha juu sana kuliko vyote duniani na ulimwengu wote.Yaani ikitokea chochote/mtu yeyote akaweza kukutimizia mahitaji yako yote pasipo kuzuiliwa na...
19 Reactions
89 Replies
7K Views
Kibongo bongo wakristo wengi wanaamini kwenye uchawi. Ndio wanauchukulia kama kitu kibaya, lakini kwa vile wanakubali uwepo wake basi inamaanisha wanaamini upo. Lakini cha kushangaza, kimantiki...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Nimeanzisha uzi huu ili tujaribu kufikiri kwa undani, na kukusanya kila taarifa, clues na chochote tunachokijua kuhusu ulimwengu huu usioonekana. Chochote unachokijua unakaribishwa kuchangia ili...
15 Reactions
65 Replies
9K Views
Mwili wa binadamu na viumbe wengine wote unahangaika sana na mambo mawili. Kusurvive na kuzaliana. Sasa najiuliza kuzaliana kunamsaidia nini kiumbe anayezaa. Kuendeleza kizazi cha ng'ombe...
32 Reactions
227 Replies
13K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri. Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi. Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa...
29 Reactions
196 Replies
7K Views
The original Illuminati were a Bavarian secret society founded in 1776. Their stated goals were, to coin a phrase, “woke”—to eliminate superstition, religious influence over public life, and the...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wa kuu zangu? Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo 1.Hawajiamini.. Wafikapo madarakani...
4 Reactions
6 Replies
608 Views
Kanuni ya Ubadilishaji (Substitution) Ubadilishaji wa fikra. Hii ni kinuni mojawapo ya saikolojia inayohusu sana kubadili fikra, mazoea, hisia na mawazo. Kanuni inasema kuwa vyote hivyo...
14 Reactions
25 Replies
12K Views
Ni maswali wanajamii wajiulize hasa wale wanao amini Ukristo, tumeshuhudia kina nabii Bushiri/Kakobe/TB Joshua, Lwakatare, yule wa Dodoma, Mwingira, Mzee wa Upako, Gwajima, Massanja, Flora, wale...
11 Reactions
315 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…