Huenda Ibilisi pamoja na malaika wengine waovu kabla ya kushindwa vita huko mbinguni waliishi katika sayari ya Mars. Ni lazima nikiri ukweli ya kwamba hakuna nyaraka zilizopo ambazo zinaweza...
Ninaposoma baraka za Ibrahim,naona wazi kabisa kama vile wapo watu wanaofurahia nchi ya maziwa na asali.
Nikiangalia nchi hii ya Qatar imebarikiwa na chemi chemi ya mafuta kiasi kwamba hata mtu...
Let us move to the era of Newton and imagine ourselves living in that period. Newton introduced theories in physics that revolutionized the field and some other sciences. His concept of gravity...
Maisha haya bhana!
Nilipokuwaga mdogo nilikuwa na akili finyu sana nadhani kuliko watoto wote wa mtaani kwetu.. Niliamini kirahisi sana mambo bila hata kufikiri kwa kina yaani zile akili teketeke...
Mnakumbuka alipofariki msanii maarufu wa filamu Tanzania Steven Kanumba liliibuka wimbi la vijana wengi wengine wakiwa na lafudhi za nchi jirani waliokuwa wakikusanya watu na kuelezea habari za...
MATE;
Previous I wrote a topic centered on Illusion projection and I discussed a bit about how the brain process and encode memory, So this Topic will be serving as a stand-alone sequel of that...
Memories of WWII refugees live on in Tanzania
ARUSHA – On the fringes of a small Tanzanian village called Tengeru lie buried 150 Polish war refugees, who did their best to make a life there.
The...
Katika mjadala wa ndoa ya wake wengi, Waislamu mara nyingi hujadili aya ya Qur’an:
"Na mkikhofu kuwa hamtoweza kufanya uadilifu kwa mayatima; basi oeni waliokupendezeni katika wanawake wengine...
One of the greatest challenges faced by humans in their interactions with the details of life is the sayings, discourses, and concepts socially entrenched, which have gained legitimacy in...
Nchini Marekani, kuna zaidi ya sehemu 100 ambazo zinatumika kuhifadhi miili ya watu waliofariki.
Sehemu hizo zimejengwa katika hali ya kuweza kuifanya miili hiyo isiharibike na kubaki katika hali...
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.
Mfano 'tail bone' /...
Wakuu,
Nna maswali kadhaa najiuliza:-
1. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Ina maana TULIOWAZIKA WOTE NI WATENDA DHAMBI
2. Kama kweli mshahara WA dhambi ni mauti, Kwaiyo WASIO NA DHAMBI...
Bila shaka mko salama waungwana...
Kikawaida neno msingi na chanzo ni maneno mawili ambayo ukiangalia kwa jicho la kawaida ni kama yanafanana hivi lakini ni maneno yaliyo na utofauti mkubwa.
Kwa...
SALUTE
Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki...
Mafanikio ya Urusi kwa sasa inayoongozwa na rais mwenye misimamo thabiti aliyekuwa KGB wa zamani Vladimir Vladimirovich Putin ni yakushangaza kwa wengi hasa western block USA na allies wake wa...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Naam imesimama,
Namaanisha imesimama kiteknolojia na ugunduzi na utatuzi wa changamoto za binaadam za kila siku.
Ukisoma vitabu Dunia wakati inaumbwa haikuwa...
Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake.
Hakuna ushahidi wa moja kwa...
Peace||amani iwe nawe ✌🏾
Achana na ule upande wa pili wa Shilingi(sarafu), noti 💵 inapande tatu ukiachana na zile mbili zinazofahamika.
Upande wa tatu wa noti una picha au alama iliyowekwa na...
Fupisho la Kafia getto-Ni machozi,yaliyosheheni pumziko Zito lililofungwa katika kurudishwa nyuma kwa masiku,309 miaka coran At- Tawubat 40 katika ukomo kwa ishara ya giza Zito zaidi la usiku...
Niliwahi kusikia kuwa njia rahisi ya kutambua nyota ni herufi ya mwanzo ya jina na Tarehe ya kuzaliwa..
Herufi ya jina ni nyota nyingine na tarehe ya kuzaliwa ni nyota nyingine..
Hapo ipi nzuri...