HAYA NDIYO MAMBO TATA KUHUSU NEIL ARMSTRONG NA SAFARI YA MWEZINI
Jana nlifanikiwa kuangalia video , baada ya shirika la anga la MAREKANI, NASA kufanikisha kupeleka chombo cha utafiti katika...
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu...
binafsi sina Dini ina namuamini Mungu. Dini ni mpango wa shetani kuwakamata watu wanaoamini wanamtumikia au mwabudu Mungu. huwa najiuliza huyu mwenye Dini ambaye anabagua wengine ambao si wa dini...
Labda ulikuwa miongoni mwa watu waliosikia taarifa ya kukamatwa kwa muuza madawa ya kulevya nchini Mexico, Joaquín Guzmán Loera AKA “El Chapo Guzmán”, na ukajiuliza kuhusu wauzaji madawa ya...
Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo.
Mara nyingi wanajeshi hupindua...
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20...
Wakuu habari za mchana, natumaini wote wazima. Juzi nilikuwa nasoma kitabu kimoja cha kuhusu mambo ya kijasusi cha "spies against armaggedon" humo nikakutana na term inaitwa DARK ARTS na katika...
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi...
Wadau nawasabahi.
Nimeona nije na baadhi ya MASWALI MAGUMU yaliyokosa Majibu kupata kutokea hapa Tanzania licha ya Vyombo husika kuwepo. Miongoni ya Maswali hayo ni haya
1.Nani ALIMTEKA...
Kulikuwa na maneno nikiyasikia kwa muda mrefu kwamba TISS huwa hawalali akaja Rais Magufuli kuyapigilia msumari kuwa kweli TISS hawalali wakati akizindua ujenzi wa makao makuu ya TISS Zanzibar...
Alijua kuwa ni kosa litakalo mgharimu maisha yake. Haijalishi kama kifo chake kitachelewa au kitawahi lakini kwa vyovyote vile Waisraeli wasingeweza kumuacha hai kwa kosa la kumwaga damu ya...
Wasalaam, wapambanaji:
Tunaamini kila mtu ameletwa hapa duniani kwa sababu maalum na kazi maalumu, kuna walioletwa kuongoza, kufundisha, kugundua/vumbuzi, madktari, ma-engnineer na kila namna...
Wakuu kwema?
Katika kutafakari mambo ya dunia,tafiti na dhana mbalimbali kuna mambo ambayo yanahitaji kujadiliwa na wajuzi ili tusio na uelewa tuelewe.
Sasa wanabodi nimejaribu kutafakari...
Top 10 Best Modern Militaries/Armed Forces
Who do you think are the top 10 best Militaries/Armed Forces in the world? In other words if each country was to go in an all out war with each other...
Biblia ina andiko la wakati Mungu akimpa Adam mamlaka ya dunia, Adam anashindwa kuitii amri ya Mungu na hatimaye anaishia kumkabidhi mamlaka hayo shetani.
Quran inasema "isipokuwa kwa wajakazi...
Salaam ndugu zangu,
Naomba ufafanuzi wa kina juu ya mambo ya ibada za mtu mweusi kabla hajapata ugeni kutoka nje ya Africa, je alikuwa mpagani yaani haamini katika Mungu ama alikuwa anamwabudu...
Jina la kitabu:OIL POWER AND WAR
Mwandishi:MATTHIEU AUZANNEAU
Mchambuzi: Nanyaro EJ
Utangulizi!
Mwandishi wa kitabu hiki ambacho kwa undani kitaelezea historia adhimu kabisa ya mambo ya...
Wana Theolojia, Kwanini mtu Anazaliwa na Dhambi na kurithi automatically, Lakini sio ukombozi?
Ingawa vyote vilitokea kabla ya mtu kuzaliwa?
Kwa nini mtu huyu asizaliwe na ukombozi tayari?
MWAMINI NI #KIUMBE_KIPYA
Je unajua nini kilitokea katika kuokolewa kwako?
Je! Unafahamu umekuwa nini mara baada ya kuwa na imani katika kufa kuzikwa na kufufuka kwa Kristo ili wewe uhesabiwe...
Tumezoea kusoma na kufanyia mitihani nadharia za wazungu.Leo na mimi mswahili naleta nadharia yangu juu ya mgawanyo wa ukoloni.Napendekeza wasomeshwe vijana wetu wa masomo ya DS mwaka wa mwanzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.