Unaweza kuita uchawi au ushirikina lakini sigils ni alama za kishetani ambazo ukizichanga kwa kufuata mifumo yake hukupa matokeo unayotaka iwe ni kwenye ishu za mapenzi ngekewa bahati mali...
UTANGULIZI.
Uzi huu unalengo la kuelezea nadharia mbali mbali ambazo bado hazijawekwa wazi sana kuhusu imani katika dini kuanzia historia yake hadi kujibu maswali mbali mbali yahusuyo dini kama...
Nikiwa Nawaza na Kuwazua kuhusu Mambo kadha wa Kadha wazo linanijia Kichwani, wazo lenyewe ni Kuhusu Kitabu hiki tata, kinaitwa The Davinc'i Code!
Mawazo yanayonipelekea kukaa nyuma ya Keyboard ya...
"KWA WA CUBA CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO.
Na KINGO SR[emoji736]
(Kingoinversion on plyastore & Instagram)
"Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe...
Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma.
Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza...
Kumekuwa na hadithi nyingi sana katika ulimwengu huu tunaoishi kuwa hatupo tu binadamu na wanyama pekee yetu bali pia kuna viumbe wengine wanaishi walio kama sisi maumbo mithili ya kwetu, akili...
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko...
Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa?
1. Ni kuku kwanza, halafu...
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
Leo rafiki zangu...
Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia...
One of the tough nuts humans have struggled to crack is consciousness. that is because it is tough to even define it.
However, today I Mr. Mc, would argue that the best definition of...
WISH FULFILL WITHIN AN HOUR
Je ulishawahi kutamani jambo litokee kwa haraka na urahisi zaidi na likashindikana?
Hii hapa njia rahisi ya kutimiziwajamb unalotaka kwa muda mfupi.
Jinsi ya...
Mfano nchi ya China 90%, North Korea 99% hawajui Quran wala Biblia. Pia huku Africa miaka ya 1900 kurudi nyuma dini zilikuwa bado hazijafika, nchi kama North Korea ni strictly prohibited...
Salute!
P.S: Awali ya yote niseme tu wazi, sikuanzisha uzi huu ili mtu ajaribu kuiba pesa bank, nia yangu ni kuwapa uhalisia wa usalama wa pesa zako ziwapo benki na pia kuAlert mabenki waendelee...
Habari wana JF. Hivi ni kweli Masons, wanatumia kitabu cha The 66 Law of Illuminati. Secrets of Success? Kwamba ndio kinawafanya wanapata maendeleo?
Nimejaribu kusoma juu kwa juu. Ila kwa wale...
"OPERATION SINAI EAGLE" ILIZIMA DEMOKRASIA NCHINI MISRI, NA IMEKATISHA MAISHA YA Dr MOHAMMAD MORSI.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Wednsday-19/6/2019
Moshi, Kilimanjaro - Tanzania.
Demokrasia...
Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu...
1. Siku zote kumbuka kuwa hakuna mtu duniani ambaye hana matatizo. Hivyo si wewe pekee mwenye matatizo.
2. Changamoto ni sehemu ya maisha. Ni mtu aliyekufa tu ambaye hana changamoto.
3. Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.