1.SIMEONI.Hawa wangekuwa "WAKURIA"."Panga zao ni silaha za jeuri.Ghadhabu yao na ilaaniwe,maana ilikuwa kali,Na hasira yao,maana ilikuwa haina huruma"'.
2.REUBENI.Hawa wangekuwa...
Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake.
Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua...
Sabato njema,
Leo nimeamka na Kiranga na atheist wenzake wote.
Kuna hii sentence huwa unaipenda " Mungu mwenye mjuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote " hayupo kwasababu kuwepo kwa ulimwengu...
Binadamu ni
i. Roho
iii. Nafsi
iii. Mwili
Katika nafsi ndani yake hukaa Akili(mind)
Nafsi imepewa uhuru wa kuchagua kutii amri ya mwili au amri ya Roho.
Mungu alimuumba mwanadamu aishi kwa...
Kwa mara nyingine tena hoja ya Bunge kupitisha sheria ya kurudisha ofisi ya Kadhi Mkuu linajitokeza tena huku waislamu wakitaka Bunge litunge sheria ya kutambua uwepo wake na wakristu wakipiga...
Zaidi ya asilimia 80 % Mungu huzungumza kupitia ndoto, ujumbe wa picha na alama ambazo zinakua zimebeba ujumbe au maagizo fulani.
Mungu huzungumza kwa mafumbo, ishara na picha tunaweza kuziona...
Dunia imebadilikia, utandawazi unatukutanisha na watu mbalimbali duniani. Fikra mpya, filosofia na elimu inatujuza mitazamo ya watu mbalimbali katika Historia na hata ulimwengu tulio nao.
Moja...
(usomaji wa dakika 14)
Tufanye hesabu!
Kabla hatujaanza, kuna maandiko haya matatu.
1 Wathesalonike 5:21
Pimeni kila kitu: Zingatieni kilicho chema.
Yohana 8:44
Yeye alikuwa muuaji tangu...
Math. 24:14 Na hii habari njema ya Ufalme itahubiriwa ktk Dunia yote inayokaliwa ili kuwa USHAHIDI kwa mataifa yote, na ndipo ule mwisho utakapo kuja. Lengo la Mungu ni kukusanya wanadamu wanyofu...
Wanajukwaa Salam,
Ningekua nikfikilia hili Jambo kwa muda mrefu Sana.
Aridhi kwa ufupi ndiyo inawwzesha maisha ya viumbe vyote hai duniani kuwepo.Mimea ambayo ndiyo chanzo Kikiuu Cha chakula...
Makala Iliyopita:
Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya:
1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya...
CIA na AIDs
Labda unajua virusi vya AIDS, lakini huenda usifahamu nadharia kwamba sio virusi vinavyotokea kwa kawaida, lakini kuna ukweli kwamba imetengenezwa na mwanadamu na kusambazwa na CIA...
Wakuu,
Tuliwahi kuweka doc moja ambayo ilikuwa detailed kwa kina juu ya wahusika wote wa EPA na nahisi wengi hawakuigundua section hii. Sasa nimeonelea niziwasilishe katika mtiririko ambao hata...
Do not outshine your master!Naam kamwe ''usimzidi Bwana wako."
Katika nchi za watu weusi kama mkaa,rangi ya majabali yaliyoijenga Ulaya na Amerika yote wakiwaacha wato to, wazee na viwete katika...
Kwenye historia ya vitabu vya simulizi za watoto maafuru kama (FAIRLY TALE STORIES) ipo simulizi ya Daktari Frakenstain ambe inasa elezwa kuwa alikua na teknolojia ina weza kufufua wafu,
Alitumia...
Dini ya kweli Ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa makubwa. Hii itazifanya familia na jamii zetu kuishi kwa furaha na aman.
Hakuna mtu aliyeshiba mwenye vurugu. Aliyeshiba Anatafuta utulivu ili...
INSANE COINCIDENCE
TITAN:TITANIC
Duniani kuna mambo ya ajabu sana,pengine huwezi hata kufikirikama yanaweza kutokea lakini yapo.Kwa wale ambao hawajui au hawaelewi wanaweza kukataa na kubisha...
Dini zilikuwepo tangu enzi na enzi, jamii za wanaadamu zimekuwa zikiabudu vile wanavyoviita Mungu kwa miaka mingi sana hili halina ubishi.
Uwepo wake miaka mingi haina maana ni sahihi kuwepo wake...
Cloning ni mbinu/kitendo Cha kutengeza kopi za vinasaba vya kiumbe flani Kisha kopi hizo hutumika kutengeza kiumbe mwingine mpya(clone).
Kitendo hiki kinahusisha utoaji wa seli,tishu na vinasaba...
Akiwa amesimama kwenye meza ya kantin huko Tel Aviv…. Mwalimu wa Ujasusi wa Israel alikuwa akiwatizama na kuwasoma wanawake na wanaume wanaopita mbele yake ambao ni watumishi wa shirika la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.