Heri ya Mwaka Mpya 2018. Si makusudi yangu kusifia Uhalifu lakini katika Ulimwengu huu kuna akili za ziada au vipaji ambavyo watu wanavyo sema tu matumizi yake ndo huwa yanakuwa ya kihalifu...
Toka Turkey mwaka 2015 namba 106 kiuchumi katika nchi masikini za ulimwengu wa tatu hadi nchi za G20 bora kiuchumi duniani chini ya chama cha AKP chini ya uongozi wa Rais Recep Tayyip Erdoğan...
50 groundbreaking Russian INVENTIONS (PICS)
SCIENCE & TECH
JUN 12, 2022ANNA POPOVA
Alena Repkina
“Human history is in essence a history of ideas,” Herbert Wells wrote. Thanks to the drive to...
Mariana Trench ni jina la eneo lenye kina kirefu zaidi cha bahari, ni takribani 11km kwenda chini katika bahari ya pacific
Wanasema Maji yana pressure kubwa sana kadiri unavyoenda chini, kule...
Nepotism is the practice among those with power or influence of favouring relatives, friends, or associates, especially by giving them jobs.
Nepotism is the act of granting an advantage...
Wakati unasikia taarifa kwa sasa kwamba dhahabu itaanza kutumika kutibu cancer (taarifa ambayo imewafurahisha watu wote) ni kitu kilikuwepo karne na karne watu wametafuta ukweli wake na kuufanyia...
Habari zenu wakuu,
Natanguliza salamu za pole kwa wale waliofiwa na wapendwa wao katika kipindi hiki kigumu. Kikubwa tuwasikilize watalaam wa afya na tuwakinge tuwapendao.
Mtanisamehe kwa...
Visual Accessing Cues. Ni njia inayotumika kutambua na kuonesha ni upande gani wa ubongo mtu anautumika wakati anafikiri kabla ya kuongea, watu wa inteligensia wamekuwa wakitumia njia hii kufanya...
Hi guys 🙂
Nafikiri ni takribani miaka 78 sasa, tangu silaha za nuclear (atomic) zianze kuwepo duniani.
Uharibifu unaoweza kufanywa na silaha hizi ni kana kwamba hauelezeki (ni maafa makubwa...
Salute Comrades
Nimekua nikijaribu kuji-challange mwenyewe juu ya matukio mbalimbali yaliyoelezewa kwenye biblia kuona ni kweli yalitokea na hua napata majibu ya kiridhisha. Nimeangalia hili tukio...
Salute.
Jana usiku nilikua naangalia muvi ya The Patriot iliyochezwa na Mel Gibson (Director wa muvi ya Apocalypto,Passion of Christ etc) akiwa na Heath Ledger. Ilikua inaonyesha jinsi wamarekani...
MAPINDUZI YALIYOFELI
CC F. BUYOBE from Twitter
THE FAILED NKURUNZINZA’s COUP D’ETAT
Rais Nkurunzinza aliondoka Dar Es Salaam majira ya saa 12 na robo jioni kurundi nchini kwake Burundi akiwa...
Yes Isaack Newton yule yule wa ma-law of motion,law of cooling,gravitation calculus na malupulupu mengine alithibitisha uwepo wa Mungu.
Kabla sijasema alithibitishaje napenda kusema kuwa kwangu...
Reincarnation (kuzaliwa mara pili) ni ile imani/filosofia kuwa mtu anapofariki, basi roho yake inazaliwa upya kuwa mtu mwingine au mnyama mwingine au kiumbe cha kiroho (mzimu,malaika etc.)...
Hii ni thread maalumu kwa ajili ya kukufahamisha/kufahamishana juu ya siri na hazina, bila kusahau mambo mbali mbali ya mamlaka ya mji wa Vatican nchini Italia. Kwa wakristu VATICAN ni mji...
Ukipewa uenyekiti wa chama kaa ukijua chama chote sio chako, ukipewa suti sio kila kona unaweza kuivaa na ukipewa Gwanda sio kila patuni ni yako!
Lakini kuna Mnazareth wa Black African alipingana...
Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30...
Hili eneo lajulikana kama area 51 linapatikana katika jimbo la nevada uko Marekani, eneo hili ndiko kulipo na kituo kikuu cha ujasusi cha Marekani, na inaaminika kwamba Majajusi wa Marekani...
Za mchana wana JF.
Natumaini mu wazima wa afya.
Leo nataka kuongelea ukatili uliofanywa na wajerumani katika nchi yetu ni wakutisha sana. Historia ya ukatili huo imefichwa watu wachache...
Amahoro?
Kwa waliosomoa general chemistry au atomic physics au molecular biology watakuwa walishasikia mahali kutoka kwa ticha mwenye manywele machafu akisema kuwa kila kitu kilichopo kwenye huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.