wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe
VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu...
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU...
Thread hii nimeandaa mahususi kwa ajili ya kujibu na kutoa maelekezo vile nilivyo jaaliwa kuhusu maisha upande wa pili yaani ulimwengu wa kijini kichawi na kimiujiza, ikiwa una swali lolote kuhusu...
Wakati waumini wote wa dini ya kikristo duniani wakiwa wanaazimisha sikukuu ya kufufuka Kwa bwana yesu kristo, ningependa tuiangazie tekinolojia ya ufufuko na namna ambavyo wanadamu wanajaribu...
Niliwahi kufika Kaole Bagamoyo kule kwenye makumbusho... Pale kuna kaburi moja maarufu sana... Wamezikwa watu wawili kwa pamoja mke na mume ambao walipendana sana kiasi kwamba walikufa pamoja...
Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius).
Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika...
HOJA YA MSINGI
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na...
Heri ya Mwaka Mpya Great Thinkers,
Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru...
RICHARD SORGE
Jasusi huyu anahesabika kama jasusi mwerevu kuliko wote katika karne ya 20. Jasusi huyo Mrusi na mwalimu wa hujuma alifanya kazi dunia nzima kabla na wakati wa Vita Kuu ya Pili ya...
Anaitwa Victor Glover ndiye atakuwa kiongozi wa chombo Orion space craft katika safari nzima ya kuelekea mwezini ambayo Itafanyika Mwezi novemba mwaka 2024
Rubani huyu wa chombo amezaliwa...
Hi socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukijua kwamba dollar ya marekani ndio fedha yenye thamani zaidi duniani lakini kuna pesa zingine ambazo zina thamani kuzidi ata hiyo dollar ya marekani
Na hii...
Siku moja, Mungu alinyang'anya kila mtu mali yake. Watu wote waliachwa bila chakula na walikuwa na njaa siku nzima. Siku ya pili yake jioni, Mungu alimpa kila mtu kuku.
Kundi la kwanza lilifurahi...
Many religions teach life after death: after our life in the world, we have another life in heaven.
This is a doctrine common to most religions in the world.
I find it hard to understand how we...
SALUTE
Mara nyingi huwa nasema vitu tunavyoona ni vya kijinga havi-make sense machoni na masikioni mwetu ndio huwa na maana na vimeleta mabadiliko makubwa duniani kwetu. Mfano swali la kijinga...
SEHEMU YA 1
Maisha ni mda anaoishi mwanadamu toka kuzaliwa kwake mpaka kufa kwake.
Tena maisha yanasifa moja kwa kila mwanadamu kama ifuatavyo,
watu wengi wamekuwa wakisema kuwa maisha ni magumu...
Dunia imejaa maajabu mengi lakini maajabu makubwa yapo kwenye ulimwengu wa roho ndio maana kitu kikitokana na masuala ya kiroho huogofya na kikiwa chema huwa tunaita muujiza.
Masuala ya kiroho...
Wanajukwaa habarini za muda huu.
Mara nyingi huwa nikijiuliza maswali kuhusu mambo ya imani huwa naishia kujipiga ngumi nyingi na kutaka kujipasua mwenyewe pasipo na majibu
Swali langu la leo...
:A S-alert1:
January alisema baada ya kupitia taarifa zilizopita za kamati hiyo, aligundua kuwepo kwa bahasha za mlo wa mchana kwa kila mjumbe wa kamati ambazo ndani yake kunakuwa na shilingi...
(Usomaji wa dakika 25)
PRAISE OUR LORD JEHOVAH!!!
PRAISE JESUS!!!
Whatever name you have for him (him being a symbol for Order), we all recognize him.
It took me being a Mum and going through...
Ni muda mrefu sasa nashuhudia vijana mateja wakivamia malori na kukinga mafuta yaliyobaki kwenye foleni, jana niliwakuta Tazara wakikinga mafuta wengine wakiwa wanavuta sigara.
Nataka kujua hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.