Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Miaka ya 70’s 80’s Tanzania kutokana na sera yake ya ujamaa ilikuwa ana urafiki mkubwa na nchi ya Urusi, katika urafiki huo uliwezesha wanafunzi wengi wa Kitanzania kwenda kupata masomo kwenye...
7 Reactions
28 Replies
9K Views
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya...
22 Reactions
647 Replies
22K Views
  • Redirect
Na DaVinci XV SEHEMU YA I Masal kheyr wakuu, MWANZO 3:1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Binafsi tangu ningali mdogo nilikuwa na tatizo la...
6 Reactions
Replies
Views
Kuna uhusiano gani kati ya cable tow (hii kamba ya utamburisho wa Freemason) na Spiritual chills kwa watu ambao sio freemasonry. Tafadhali soma hili na nisaidie kuelewa kinachotokea kwangu. Mimi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF siku chache nimekuwa nikiwaza na kuchambua mambo kadha wa kadha kuhusu nguvu ya kiuchumi ya nchi ya china na watu wake kusambaa karibia kona zote za dunia. Nimekuwa nikiwaza sana...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Get off X kwa tafsiri nyepesi unaweza kusema ni kuwa nje ya x, lakini katika ujasusi haina maana hiyo. Katika ujasusi ukisikia Get off the X, maana yake uwe nje ya tukio, shari au viashiria vya...
94 Reactions
75 Replies
19K Views
Wanabodi, Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina...
48 Reactions
133 Replies
14K Views
Moja kati ya sekta nyeti katika taifa ni ile tunaita "think tank". Sijajua kwa taifa letu watu hawa wanatoka angle ipi,ni aidha ni watu wa sili sana ama wanatoka mbele ya vyombo tunavyoviona ama...
2 Reactions
8 Replies
678 Views
Heri ya Pasaka? Heri ya Mfungo kwa WAISLAMU. Ndugu zangu wataalamu wa Masuala ya Biblia na Quran NAOMBENI MSAADA wa hili swali linalonisumbia Daima? JE ni KWELI QURAN ilishushwa kutoka...
10 Reactions
191 Replies
12K Views
Miaka ya nyuma kipindi cha mediaval na reformation of church, kanisa katoliki lilikumbwa na misuko suko mbali mbali iliyolitikisa kanisa kweli kweli. Mojawapo ikiwa ni kuanzishwa kwa kanisa la...
1 Reactions
4 Replies
978 Views
Hakuna kitu kimefanya nimuamini Mungu wangu kama maneno yake yaliyonenwa na yeye huyo huyo mungu kwenye moja ya vitabu vyake vitakatifu karne nyingi zilizopita na kwa uwezo wake usio kifani...
12 Reactions
94 Replies
25K Views
Kuna vyanzo vingi vinavyo elezea kuwepo kwa freemasonry Kabla ya 1717, vyanzo hivyo ni vingi, vinahitaji muda na uyakinifu ilikuweza kutofautisha baina ya almasi na vipande vya vioo. Kuna vilivyo...
10 Reactions
21 Replies
9K Views
Tunaingia kwenye ulimwengu wa akili bandia (AI)kwa kasi mno isiyozuilika.. Kila kitu kinabadilika hakuna kinachoachwa nyuma, ni mabadiliko ya pamoja Zile sinema za Matrix zilizodhaniwa ni za...
28 Reactions
72 Replies
5K Views
Kitabu bora cha UJASUSI na USALAMA kiitwacho "IJUE HISTORIA" chenye kurasa 470 kinachoongelea historia za UJASUSI, UPELELEZI, SIRI ZA DUNIA, UGAIDI na UHALIFU kimeshatoka na kinapatikana kwa sh...
37 Reactions
143 Replies
50K Views
Je ulishawahi kuwaza kuwa labda jamii ya watu ambayo ilikuwa na watu maarufu duniani kama Yesu, mfalme Daudi na mfalme Sulemani walikuwa na ngozi nyeusi? nakuletea taarifa kuwa jamii ya Wayahudi...
4 Reactions
43 Replies
7K Views
Vifo tata! Kuna watu walikufa vifo visivyo vya kawaida, vifo vya lazima, vifo vya kuuliwa, kuna mbinu kama forensic investigation ziliweza kung'amua kilichojiri kabla ya kifo. Kuna technology ya...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tume kuwa tukidanganywa sana, Mara ooh kuna waganga wanatibu Uchawi, Mara ooh kuna Mganga ana uwezo wa kukuonyesha Mbaya wako kupitia maji au kioo, Mara ooh kuna Mganga ana kupa dawa ya Kumfanya...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Kama ulidhani Baridi kali inatumika kuhifadhi Bidhaa pekee ili zikae muda mrefu bila kuharibika, fikiria upya. Teknolojia mpya iitwayo 'Cryonics' imeanza kujipatia umaarufu kwa kutunza Miili ya...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa. Ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Leo ningependa tuangazie hatma ya kijana wa Kitanzania. Nikiwa nimekaa zangu nimetulia nikiwaza ni namna gani naweza kuleta mchango...
7 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello JF, Katika uumbaji wa vitu vyote vinavyoonekana Kuna hatua za uumbaji na majira ambayo hayo yote yalitokea. Ufahamu wa aliyeumba yaani Mungu Baba ambaye uhalisia wake ni CHANZO HALISI...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Back
Top Bottom