wasaalam ,
Hakuna mwanadamu mungu alimrudhuku vipawa vingi kama mwanasayansi Leornardo Da Vinci yule mchoraji nguli sana wa mchoro Tata wa mwanadada monalisa.
Mungu alimpa vipawa vingi sana...
Habari za mchana wana JF, hivi Karibuni nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu historia ya siasa za maziwa makuu ila nikagundua kitu fulani kilichonishangaza kidogo nikaona nilete mjadala kwa great...
UTAPELI, CONSPIRACY & SECRET SOCIETIES: UHALISIA WA UMILIKI WA KESHO YA ULIMWENGU
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa...
Kuna vitu tunaviona ni vidogo sana maishani na hatuvipi umuhimu wowote, lakini vimebeba maana kubwa sana nyuma yake
Wenzetu wenye kuwaza zaidi ya kuwaza wamevifuatilia, kuvifanyia utafiti na...
Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa
Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili...
Wewe ni Mvulana au Mwanaume.?
Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo.
Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa...
Naombeni kusadiwa kujua kuhusu majini. Nina imani watu wengi huwa tunatishwa sana..
Nina maswali naombeni kupewa msaada..
[emoji117] Nani aliwaumba majini?
[emoji117] Majini wameumbwaje na...
Niliwahi kueleza kuhusu familia 13 za siri duniani kutoka Freemason, ikiwepo familia ya Malkia. Wengi huwa wanabeza wakidai ni consiparacy theory tu, but haya mambo ni real, sio bla blaa...
Hello...
Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's...
Vijana wa Sasa ksema ukweli hawjitambui ni muhimu Kwa wazazi na wazee kuacha kutupa lawama tuu! Bali waanze kuongea ukweli. Ili kuokoa kizazi hiki kilicho athiriwa na maendeleo ya sayansi na...
Za masaa wana JF.
Leo nimeona ni vyema kuwaletea kisa kilichonitokea mwaka 1987 nikiwa kidato cha tano huko Ilboru secondary school. Nilikuwa nikisikia tu habari za malaika kwenye ibada za...
Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake...
Wakuu,
Nimepata maswali mengi sana kuhusu dhana ya viumbe anga za mbali. Baadhi nitayajibu hapa kadri ya uwezo wangu.
Utata:
Wana-anga na wanasayansi wamekuwa wakiangalia mienendo ya nyota...
Tarehe 4 october 2019 Marekani muvi inayoitwa Joker ndio siku ilipotolewa officialy, kabla ya kuachiliwa mwezi september 18 jeshi la marekani ilisambaza ujumbe wa e-mail kuwapa tahadhari wamiliki...
Good day, good people!
Déjà vu ni neno lenye asili ya kifaransa likimaanisha "already seen, lived" yaani unakutana na situation, event, scenario au hali yeyote ambayo unakuja kugundua ulishawai...
Paka huyu hayuko hai wala hajafa kabla hatujafungua sanduku alilofungiwa ndani yake pamoja na bomu lenye uwezekano wa asilimia hamsini za kulipuka na hamsini za kutolipuka (50/50 chances). Kwa...
Ukichukua mzunguko wa duara lolote ukagawa kwa Kipenyo chake; unapata ratio Pi ambayo ni 3.14.... nakuendelea
Sasa interesting facts ni kwamba....
baada ya desimali namba zinaendelea to...
Wasalaam
Binafsi wakati nakuwa nlipoanza kusikia myth za mataifa mbalimbali asa asa nchi za Latini ,misri,Babeli, na Ugiriki nikatamani sana kuelewa na kufahamu kuhusu tawala zao na miungu yao...
Habari za jion ndugu zanguni,
Nimekua nikijiuliza sana hili swali, ila bado nafsi yangu haijaridhika.
Nikifikiria namna vizazi viwili vilivyoijaza dunia naona vilifanya makosa makubwa sana maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.