Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
𝐈𝐬 𝐢𝐭 𝐧𝐨𝐭 𝐚𝐧 𝐢𝐧𝐬𝐮𝐥𝐭 𝐭𝐨 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐫𝐞𝐝𝐮𝐜𝐞 𝐆𝐨𝐝 𝐭𝐨 𝐦𝐚𝐧? 1. God comes out of a woman's belly (Matthew 1:18-25) 2. God eats and drinks (Matthew 26:29) 3. God rests (Genesis 2:1-3) 4. God is sleeping...
7 Reactions
491 Replies
14K Views
Wasaalaam Katika dini hizi kuu (Abrahamic) hakuna pande yoyote inayokataa uwepo wa Mtoto wa Mariamu Yesu wa Nazareth , historia na hadithi za maisha za Yesu/Issa zipo katika upande wa Dini kuu...
16 Reactions
82 Replies
11K Views
Wasalaam wakuu Pope Audiance Hall Paolo VI pia inajulikana kama Jumba la mkutano la Kipapa ni jengo moja kubwa huko Rome kwa Papa, lenye uwezo wa kuchukua watu 6,300, lilitengenezwa kwa saruji...
45 Reactions
266 Replies
33K Views
Salaam wanabodi, Very simple. Swali linajieleza hapo juu. Je Mungu yuko wapi? Kabla ya Mungu kuumba ulimwengu/dunia na vitu vyoooote vilivyopo, yeye binafsi alikuwa wapi? Alikuwa kwenye nini...
18 Reactions
188 Replies
14K Views
JITAMBUE: Habari wakuu, Natumaini nyie wote ni wazima wa afya na mnaendelea vema katika mambo yenu ya hapa na pale ambayo yanaendelea kuwatesa na kuwapumbaza katika maisha. Leo nataka...
18 Reactions
61 Replies
14K Views
Wasaalam, Uvumii huu uliibuka zaidi mwaka jana Vyombo vya habari vya serikali vilitoa picha na video zikimuonyesha Raisi huyo wa korea kaskazini katika kiwanda cha mbolea , Huku wakati ule...
9 Reactions
56 Replies
8K Views
Ulimwengu wote kwa jinsi ulivyo unamtegemeano wa moja kwa moja kwa kila kilichomo huwa na mwingiliano na chenzake "kutegemeana kimazingira". Hivyo basi kama haishivyo chawa au kupe juu ya ngozi...
4 Reactions
4 Replies
979 Views
Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kuu mbili; Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa...
24 Reactions
335 Replies
138K Views
Awali ya yote ningependa kuwasalimu wanajamii wenzangu habari zenu, natumai ni wazima wa afya. Nina maswali kadhaa ambayo ningependa kupata majawabu kutoka kwenu wana Jamiiforums yatakayo kuwa...
14 Reactions
289 Replies
24K Views
Habari Jamiah, Mliopo kwenye Jamii inteligence, ifuatayo ni aina mpya ya akili ningependa na nyinyi pia muifahamu ili muweze kufanikiwa mengi kupitia njozi zenu... Ndoto: Sipo hapa kuzungumzia...
16 Reactions
122 Replies
39K Views
Habari wakuu, Imagine umeamka asubuhi unafumbua macho unaanza kuona mwanga kisha kitendo bila kuchelewa kuna mashine moja katika mwili wako inafanya kazi kwa speed kubwa sana ambayo kama speed...
23 Reactions
62 Replies
10K Views
Nasilsiniz JF üye? Naomba unisamehe maana kwa haraka haraka hata mimi najishangaa kuuliza hili swali, kwasababu it's a No-brainer right?, Namaanisha ofcourse binadamu sisi sio kama wanyama...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuibuka kwa Rabi kijana, maarufu, mwenye akili nyingi ya elimu ya "toral & tulmud" na mtenda miujiza, Shlomo Yehudah Be’eri inaanza kushukiwa kuwa ni mwanzo wa kipindi cha Masihi wa Kiyahudi...
7 Reactions
65 Replies
5K Views
Wadau nawasalimu. Nimekuwa nasikia baadhi ya Watu wanasema mtu kabla ya kufariki anaweza kutoa maagizo ayatakayo kuwa akifa yatekelezwe sio wosia. Mfano wa hayo maagizo ni 1. Mgao wa mali zake...
0 Reactions
6 Replies
614 Views
Inaweza kuwa unaumwa maradhi ya hovyo hovyo hayaelezeki na umejaribu sana kutibiwa hospitali au tiba mbadala au kwa mashehe na mapadre bila mafanikio, leo nitakujuza maradhi kuu saba yanayobebwa...
17 Reactions
166 Replies
44K Views
Katika watu makatili na wakorofi katika Biblia,Yoabu anaweza kukufanya ukamwona kama mwehu,Lakini Alishinda karibu vita vyote katika utawala wa Miaka 40 wa Mfalme Daudi Huko Israel na Yuda Akiwa...
55 Reactions
174 Replies
37K Views
Ni jambo la kushangaza kwa nini huduma kubwa kama hii tunayo tumia ikawa na watu 14 tu wanaoshikilia huduma hii ya internet wakati internet yenyewe ni zaidi ya hao watu. Huduma ya internet ni...
4 Reactions
63 Replies
13K Views
Wana ndugu, tangu Waziri Mkuu aje na utaratibu wa kubadili matumizi ya barabara ya Morogoro na nyingine ili kupunguza msongamano, upande mmoja imerahisisha watu kuingia na kutoka katikati ya jiji...
0 Reactions
2K Replies
214K Views
William Tyndale alikuwa mwanatheolojia Mwingereza, kasisi ya kanisa na mtaalamu aliyetafsiri Biblia mara ya kwanza katika Kiingereza cha kisasa. Alizaliwa huko Gloucestershire mnamo mwaka 1494 -...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kumbe huu ulikua ni mkakati wa mda sana kuusiana na jinsi yakupunguza population duniani na ndo maaana hata aueleweki bcz unakua na maaana nyingi nyingi aupo clear kila mtu na chake alicho nacho...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Back
Top Bottom