Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wakuu. Mimi swali ni hilo kuwa hivo vitabu vilitoka mbinguni kweli au viliandikwa hapahapa duniani ndio tukaanza kuvisoma na kuvifuata? Maana utasikia hiki kitabu cha Allah wengine utasikia...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa: 1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo. 2. Lichimbwe shimo...
45 Reactions
420 Replies
64K Views
Wote wanatuambia Mungu ni "Omnipresent" yaani yuko mahali popote mda wowote, Yuko hapa, yuko pale, na kule kwa mda mmoja yuko sehemu zote; hakuna sehemu ambako hayupo, kila sehemu yupo.! Sasa hii...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naam, nimekuja tena kupamba jukwaa kwa aina ya pekee kabisa. Nadhani mmewahi kusikia juu ya hawa viumbe wanaoitwa MAJINI. Mmesikia stori mbalimbali kuwahusu lakini leo sio stori tena na vitendo...
26 Reactions
1K Replies
500K Views
Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior. Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa...
18 Reactions
137 Replies
17K Views
Kiasili Ukraine ndio Mama wa Russia, Russia imetokana na Ukraine. Ukraine ya sasa huko kale iliitwa Kievan, baadae ikaitwa Kievan-Rus (hili nimewahi kulieleza kwa kina huko nyuma). Sasa leo...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JF, ni muda mrefu kidogo sijaweka mada humu ila leo tupate wasaa kidogo tukumbushane mambo machache kuhusu Bible. NB: Angalizo hii mada ni purely objective tusiiweke kidini...
10 Reactions
115 Replies
10K Views
Cold War Espionage: Makomando wa KGB walimhoji na kumfanyia recruitment Senator John MacCain alipochukuliwa mateka (Missed In Action) vita ya Vietnam. Serikali ya Vietnam iliwahi kuthibitisha...
18 Reactions
149 Replies
29K Views
Wakuu kwanza heri ya mwaka2022,nimekua nikifuatilia elimu mbalimbali kuhusiana mda ,kiukweli mda ndio kila kitu kwenye maisha ya kila kiumbe ,ila kama huna ujuzi wa kuutawala mda ,wewe si...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu naombeni mnifungue akili katika hili limenifikirisha mno, imewezekana vipi. Future iwe ndio hiyohiyo past, future ndio inajijengea past, palipo na future ndipo miguu ya past ilipo hapohapo...
15 Reactions
96 Replies
8K Views
Ambapo picha ilichukuliwa katika miaka ya 1982 kwa kutumia chombo cha umoja wa kisoviet kabla ya kuvunjika kwake katika miaka ya mwanzoni ya 90's. Chombo cha venera-14 kiliweza kutumia jumla ya...
21 Reactions
149 Replies
9K Views
Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMT Serikali na TRA, mnaweza kuwezesha utoaji wa risiti za VAT kwa njia ya mobile SMS. I stand to be...
48 Reactions
99 Replies
24K Views
Kama akipatikana mtu anayeweza kukuelezea kwa usahihi tarahe,muda na namna ambayo utakufa. Na ukahakikisha kabisa kutokana na watu 1000 plus ambao aliwatabiria na ikwa kweli kwa asilimia 100...
1 Reactions
1 Replies
870 Views
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwanza mniwie radhi nitachanganya lugha kiingereza na kiswahili Pili post yaweza kuwa ndefu tuvumiliane lakini nitajitahidi kuifupisha Wanaforum tumekuwa na masomo mengi mazuri juu ya meditation...
38 Reactions
267 Replies
51K Views
Kulikuwa na bwana mmoja aliyekuwa masikini sana kiasi kwamba hata chakula alikuwa akikipata Kwa tabu. Alikuwa anaweza kumudu mlo mmoja au miwili Kwa siku. Baada ya kuishi Kwa muda mrefu kwenye...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine...
2 Reactions
5 Replies
878 Views
Hellow wanajf za muda mrefu jamvini. Nimewamiss kweli. Sema nini nilimiss kuandika kwelikweli. Si unajua tena kitaaluma mimi ni mwandishi. Nisipoandika napata homa. Ha ha natania. Haya turudi...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa. Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia...
7 Reactions
66 Replies
3K Views
Teknolojia ya kupandikiza kadi ndogo kwa lengo katika mwili wa binaadamu kudhibiti wizi wa kimtandao imevuta hisia za watu wengi katika maonyesho ya Teknolojia ya Mawasilano ya CeBIT ya mjini...
2 Reactions
48 Replies
12K Views
Back
Top Bottom