Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana...
2 Reactions
3 Replies
713 Views
Angani kuna makundi makubwa ya nyota ambayo yametapakaa huko anga za mbali kila sehemu ambayo yamefanya hata anga la Dunia yetu lipendeze vizuri sana nyakati za usiku. Nyota nyingi tunazoweza...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Tahadhari: huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala wa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini. 1...
24 Reactions
988 Replies
113K Views
Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa. Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari watu wangu wa nguvu wa JF.. Siku za hivi karibuni katika pitapita zangu Katika kujisomea somea vitabu mbalimbali nimekuja kugundua kuwa Sisi binadamu tuna nguvu fulani ya asili ambayo...
10 Reactions
17 Replies
5K Views
  • Closed
Wanajukwaa: Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni...
54 Reactions
8K Replies
569K Views
Binadamu tumekua na tabia ya kulalamika kuhusu kuumizwa, kujeruhiwa na kuaribiwa maisha na watu wetu wa karibu , iwe ndugu, jamaa na marafiki . Lakini hata siku moja huwezi kukuta mtu anaelezea...
8 Reactions
132 Replies
24K Views
Zelensky na Pro-NATO akili zao wanazijua wao wenyewe aisee...Eti walisherehekea kupewa kifuta jasho cha kilomita za mraba 6,000 sawa na asilimia 4.8 tu, toka kwa kilomita za mraba 125,000...
8 Reactions
4 Replies
1K Views
Hili jambo hushangaza kidogo ila kwa nini wanadamu humpigania Mungu katika nyanja zote. Toka enzi Mataifa yaliinuka kumpigania Mungu ambaye hajawahi kujipigania mwenyewe. Angalia issue ya...
18 Reactions
441 Replies
18K Views
Wakuu hamjambo? Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke. Yaani ile Incredible Genius Mind , ile...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa kiasi kikubwa mambo tunayoyafahamu yanajengwa (Shaped) na yale tunayoyaona na kuyasikia na jinsi tunavyoona na kusikia zaidi ndivyo yanavyozidi kutukaa akilini na kuwa sehemu ya maisha yetu...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; (1) Is Africa...
9 Reactions
191 Replies
17K Views
Hello.. Lately I’ve been writing random topics centered on personality traits, this Topic will be serving as a sequel of those Topic. Will focus on other perspective of personalities...
16 Reactions
31 Replies
7K Views
Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa. Habari za wakati...
6 Reactions
144 Replies
17K Views
1 Reactions
6 Replies
492 Views
Wanandugu wasalaam sana. Ama baada ya yote ashukuriwe muumba wa udongo na viumbe vyote. Pia ni huzuni moyoni mwangu kuisema pole juu ya anguko la Rais wetu mpenzi Dr John Pombe Magufuli bwana...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.Mungu anaweza akaumba mabillion ya universe. Yaani hapa nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii...
14 Reactions
101 Replies
8K Views
MAJOR GENERAL Abdullah al-Senussi: Mkuu wa Idara ya Ujasusi wa Jeshi Libya (Military Intelligence Wing) aliyetishia kuita ndege vita (Russian Sukhoi Su-30 fighter) kuja kulipua gereza la ABU SALIM...
16 Reactions
139 Replies
27K Views
POLICE DIGITAL FORENSIC and The Russian Roulette Hackers: FBI walipounda kampuni hewa (Front Company) ili kuwakamata wadukuzi (Hackers) kutoka Russia. Ivanov alianza kufuatiliwa kwa umakini...
24 Reactions
100 Replies
13K Views
Kiujumla hatuna housing policy hapa Bongo ndio maana suala la makazi halipewi kipaumbele! Economic Development Planning inafanywa na wachumi ambao huwa hawaoni kama suala la nyumba linachangia...
6 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom