Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Jina lake halisi ni Chukwudi Dumeme Onuamadike AKA EVANS... Ndie alikuwa mtekaji tajiri, maarufu na katili zaidi nchini Nigeria.. Akijulikana k Bilionea EVANS.... Historia yake ya utotoni...
37 Reactions
90 Replies
21K Views
Kila mda kutafakari kuzidi kutanua akili zetu na vitu vingi vilivyo humu duniani.ndio maana elimu ni bahari sijui na atujui tunajifundisha.kuna mchoro ambao mpaka leo uliochorwa na msanifu mzuri...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari za kazi wanajukwaa, bila ya kupoteza muda niende kwenye mada.... Je biblia iliiga simulizi zake kutoka dini za kipagani na kuhadaa watu kuwa ni stori za ukweli??? Kwenye biblia kuna...
19 Reactions
274 Replies
31K Views
Sitaki kuongea mengi, pitia haya maandishi kutoka kwenye hii nyalaka, ambayo kwa muonekano ni kama vile ni ya Roman Catholic. Ninachotaka kujua, hii tafsiri ni sahihi? Na Je, kama sio sahihi...
10 Reactions
50 Replies
5K Views
Jina lake ni Hebron Wilson Kisamo wa huko moshono Arusha,ni mtumishi wa Mungu anayesema ukweli na kuwaumbua viongozi wakristo wapiga dili na waongo.Mtumishi huyu anafichua mambo yafuatayo...
2 Reactions
113 Replies
30K Views
Ifuatayo ni orodha ya wanasayansi & watu wengine mashujaa duniani ambao hawakuwahi kuwa hata na girlfriend or boyfriend. [emoji117]Isaac Newton. [emoji117]Nikola Tesla. [emoji117]Jeremy Bentham...
9 Reactions
100 Replies
16K Views
Simba kama afahamikavyo kuwa ni mfalme wa pori anasifa mbalimbali ambazo nyingi unaweza ukawa unazijua kulingana na uelewa wako, lakini kwa sifa kabambae na za uhakika juu ya hayawani huyu ni kama...
29 Reactions
167 Replies
67K Views
Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
FORMIDABLE JAWS OF THE DRAGON BRIDGE: Daraja muhimu la North Vietnam lililosumbua ndege vita (Fighter Jets) za Marekani kuvunja kwa miaka saba (7). DRAGON'S JAW ni jina la utani la watu wa...
16 Reactions
53 Replies
9K Views
Nimekuwa na maswali mengi kuhusu biblia pindi navyoisoma na kukosa majibu au mtu wa kumuuliza kwa wale ambao Mungu amewapa uwezo wa kutafsiri kitabu hiki kitakatifu ninaomba mtupe majibu yenu...
5 Reactions
2K Replies
183K Views
• Harusi ya Binti wa Mobutu ilipambwa na wageni 7500 • Keki iliagizwa Ufaransa Kwa ndege Maalum • Gauni iligarimu Dola za Kimarekani 75,000 • Mikufu ya almas, iligarimu dola million 3 Kwa miaka...
16 Reactions
56 Replies
14K Views
Watu wamekuwa wakiteswa kila siku na akili zao wenyewe kiasi cha kufikia hatua ya kuwatembelea wanasaikolojia,waganga wakienyeji au madaktari wa akili kuwanusuru na majanga haya. Wengine...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Samahani hivi naweza kujua tofauti ya JKT na jku na mishaara yao kwa mwenye uzoefu
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama kuna taifa ambalo gharama ya kulilinda ni kubwa hata gharama ya kuendesha maisha ni Hii ISRAEL ya sasa iliopo eneo lililojulikana kama Palestina (according to Roman empire). Gharama hii sio...
51 Reactions
102 Replies
21K Views
Wasaalam wanajamvi, sina maana ya kutaka kuchimbua imani za watu na nisingependa hata katika majadiliano watu waanze kukashifu dini za wengine..... wengi wetu tunaamni kua mwili, nafsi na roho n...
0 Reactions
67 Replies
17K Views
I realize this is a political forum, but here is an essay I've written that is mostly philosophy. While I don't claim to have societal solutions, I believe I have solutions for the individual...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilmu Khodam--the Occult Art of Acquiring and Directing Spirit Servants ILMU KHODAM--ITS PURPOSE One of the most interesting occult arts to be found in Islamic occultism is what the local...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Je mauaji yanayodhaminiwa na serikali yanaweza kutumika kama mkakati? Na mauaji kama hayo yanaweza kukubalika kweli? Serikali hazikubali hilo, lakini wanasayansi wa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo katika mahojiano ya mtuhumiwa mmoja kwenye kesi ya ugaidi inayovuma limetumika neno "Battle Confusion". Mtuhumiwa ambae alikuwa Komandoo alisema alipotoka Congo kwenye misheni aliambiwa ana "...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom