Nimeenda kwa wakala kufanya Ka muamala kangu nikakuta kwa ndani juu ya mlango kuna hivi vitu viwili vimetundikwa. Kimoja ni kama kichupa kidogo na kingine ni hahaha flan imepigwa na staples.
Cc...
Kwa mujibu wa katuni ya KP ya Leo 30 August 2022 anasema "Broo! Hiyo sio chuchu". Huyu Broo ni nani? Na kwanini asikamue "chuchu"? Anyway sijui anakamua nini Sasa?! Shukrani KP.
Maeneo mengi ya mipakani na hasa ambako kulikuwa na vita vya ukombozi wa nchi jirani na Tanzania minara ya jinsi hii imejengwa kama kumbukumbu ya wapiganaji wetu. Kama inavyoonyesha mnara huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.