Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Kwangu mimi ni big no...sijui kwann?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pichani with a loser, …
0 Reactions
3 Replies
886 Views
•••••••••• NB. Mdau unataja maeneo ya huko kwenu kuwa yanafanana na hapo juu, tatizo hautupii na kapicha kwa kumwaminisha Tomaso. • Usiseme Marangu, Lushoto, Bukoba, Kyera au sijui wapi huko...
34 Reactions
121 Replies
10K Views
Bonge la airplane la Ukraine. Wale wanoko wa Russia destroyed it by bombing it.
4 Reactions
3 Replies
987 Views
.
Hayati Mzee Benjamin William Mkapa (wa kwanza kushoto) akiwa na marafiki zake, Phillip Magani (mwenye kofia) na John Kambona (wa kwanza kulia) wakati yupo Shule ya Sekondari Ndanda (Kilomita 60...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Image👇
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni hatari watu Sasa hivi wanafanya upuzi kutafuta sifa za kijinga YouTube na TikTok. Kwenye hii video licha ya kuchekesha ingeleta madhara. Angalia nyundo ingemvunia Taya. Ujinga unaochekesha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je kuna yeyote aliyeilewa hii picha
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Angalia picha hizi unaweza kufikiria kuwa picha hizi zimefanyiwa editing au photoshop si ndio?. Ikiwa unafikiria kuwa editing basi unakosea, hiyo kitu nyeusi inajulikana kama Vantablack na ndio...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nani ameelewa hii sanaa ya Kipanya?
2 Reactions
2 Replies
701 Views
Tusaidiane jamani. Hapa ni wapi?? Naomba kujua.
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Huu ndio mwili wa firauni ambae umehidhiwa katka nchi ya Misri "Je wajua" firauni ndio mtu pekee ambaye hajaoza hadi leo wala haguswi na mdudu aina yoyote na ndio mtu pekee aliyekuwa anajifanya...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Kama unapiga msuli tembo, matokeo sungura ni bora ukawa unalala tu.
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Zinaitwa face me I face you kwakua ukifungua mlango wa chumba chako inatazamana na jirani yako. Ukipika pilau chakula kinachobaki utakinusa usiku mzima mpaka kesho hamu imekuishia.
3 Reactions
4 Replies
715 Views
Wakina dada wa bongo Tukiwaambia kuna michongo tunaisikilizia muwe waelewa, Cc Zero IQ
11 Reactions
10 Replies
958 Views
Kweli jasili muongoza njia alikua jasili
3 Reactions
43 Replies
14K Views
Usitengemee Bahati
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom