Dah, kwa hali ngumu (katika awamu zote za uongozi tangu uhuru) tunayopitia halafu viongozi wetu na watoto wao wanasaza!!! Hawajali!!! Ebu mwangalie huyo mtoto!!! Inatia hasira sana!!!
Nb...
Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha...
Mzuka wanajamvi!
Ruto alimpigania Sana Uhuru. Na ni yeye alifanikisha Uhuru kuwa Rais mihula miwili. Baadaye ghafla tu Uhuru kamgeuka tu huyu humble gentleman presidential material na kujenga...
Mzuka wanajamvi!
Msaada wenu. Naombeni kuuliza haya majaketi Rais Ruto the fifth na mpinzani wake Raila wanavaa mara kwa mara ni bullet proof au Ndo fashen mpya? Au ni baridi inazuia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.