Aliyekuwa Waziri wa Utalii, akisakata Dansi nchini ujerumani alipokwenda kwenye maonyesho ya Utalii mjini Berlin, Daah hivi kwa style hii kama nchi tutatoboa kweli?
Bado tupo naye yule yule bingwa wa vikatuni.
Leo hii naona kaibuka na yanayoendelea pale kwa kina Matonya lakini sijui kwa vifaa hivi alivyoamua kuingia navyo sijui ana maanisha nini.
Naona pale Uwanjani sijui kulikuwa na jua sijui mvua!
Nyuso za watu zimetamalaki. Wamechoka na kuna wengine wamesinzia. Nafikiri wana usingizi mzito wa weekend!
Kuna kampeni ya Waislamu dhidi ya kampuni ya Nike kwamba imeweka jina "Allah" kwenye viatu na Waislamu wanakuja juu kwamba alama hiyo iondolewe. Ukweli ni kwamba Nike walikuwa wameandika "AIMAX"...
Hapa ni mambo ya samaki, bei pooooaaaa, unakula tu mchemsho wa fish.
Na hizi ndizo ndizi zenyewe aina ya kulekule, ambako mwana mama akizila hizi Mambo ya "katerero" yanaenda sawia, maana...
Yule gwiji wa habari picha maarufu kama Kipanya leo kaibuka na makundi yaliyo ibuka ndani ya CCM.
Tafadhali mwenye uelewa wa kusoma habari picha atujuze zaidi sisi kina kwangu pakavu kwenye mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.