I hope Mama atakataa ukaribisho huu kwa sababu tunataka Tanzania iendelee kuwa Taifa la mfano kwenye kandaa hii ya maziwa makuu kama zamani kabla ya utawala wa Kayafa.Kuna dikteta fulani hapo...
Februari 24, 2011, shirika binafsi la ndege la Precesion lilizindua unifomu mpya kwa wahudumu wa ndege wa shirika hilo. Unifomu hizo zimebuniwa na kutolewa na Kampuni ya New City ya Bangkok kwa...
Nimeikuta hii sehemu moja wakati napata 'zege' maana siku ya j2 sehemu ninayopata 'lunch' huwa hawaji. Nikajiuliza huyu alikuwa akimaanisha ni mikoa au wilaya?
Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele .
Jionee mwenyewe .
Naona binti huyu amekuwa sijui Rayvany mla watoto hajamuona.
Hivi anafanya mishe gani huyu mtoto kwa sasa. Ni binti ambaye hana skendo za kipumbavu kama wenzake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.