Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Tupia picha yeyote inayoonesha ukichakalika kazini iwe mgodini,dukani,sokoni,ukichunga mifugo,au popote pale karibunipicha: shamba la tumbaku katika moja ya kata mkoani tabora
Tumsifu Yesu Kristo....
Bwana Yesu Afisiwe....
Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna...
Je ulishawahi kuona mdudu atembeaye? Mimi sijawahi kwakweli kwakuwa viumbe hai watembeao ni aidha wana miguu miwili ama minne.
Hizi ni baadhi ya picha za wadudu warukao na watambaao.. Kati ya...
Story ambazo huwezi kuzikosa hapa
-Diamond Freemason
-GSM anaharibu ligi ya bongo
-Mo Hana Hela
-Kiba kuimba live hajui
-Yule demu nimepiga
Taja Na zingine unazozijua..😂👇🏾
Huu ni ukubwa wa Mti wa sequoia ikilinganishwa na binadamu. 🌲
Kile ukionacho mbele yako sasa ni kiumbe hai kikubwa zaidi Duniani na jitu kubwa zaidi ndani yake.. mti mkubwa wa sequoia.
Sequoia...
Ni VC wa UDSM. Inaelezwa kuwa ameachana na ubachela na mke wake ni mwalimu wa LT pale Duce.
Kila la heri kwao.
NB: Vitu hivi havina uzee. Wazee wengine tumieni fursa hii ya Corona maana hakuna...
African Blackwood, mojawapo ya miti ghali na adimu zaidi duniani.
Pia inajulikana kama "dhahabu nyeusi ya misitu".
Rangi yake nyeusi kali na ugumu wa kipekee huifanya kuhitajika katika tasnia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.