Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Japo muda wa kampeni haujafika ila CCM washaanza kum-brand mgombea wao, kitaalam imekaaje?
0 Reactions
3 Replies
244 Views
Ukikutana na watu wa namna hii basi fanya kununua kitu Hata ukiwa hauna njaa fanya kuwa sehemu ya furaha kwao. Kitaa ni kigumu sana wanandugu.
35 Reactions
85 Replies
3K Views
Muigizaji kutoka Ghana Princess Shygle, ameistua dunia kwa kufanyiwa upasuaji na kuondolewa mbavu zake tano pamoja na utumbo ili kupata umbo namba 8 kwa ajili ya kuvutia wanaume. Sent using...
1 Reactions
104 Replies
17K Views
Ifuatayo ni orodha ya walimbwende ambao kwa mtizamo wangu naamini ni warembo bora kabisa hapa nchini Tanzania. Orodha hii ina mjumuisho wa warembo ambao ni Vipusa waliopita wa Tanzania...
3 Reactions
330 Replies
100K Views
Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
4 Reactions
30 Replies
539 Views
These are pictures that shows how nature can be scary 😨 really scary! That's a happy meal A large appetite for large meal In your head 😃 hope Mohombi is proud 👏 Kasongo becomes a meal A...
3 Reactions
4 Replies
194 Views
Afrika comedy hazitokuja kuisha! Enewei kampeni zimeshaanza.
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung. Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae. Ama...
12 Reactions
20 Replies
796 Views
Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia...
7 Reactions
42 Replies
1K Views
Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
2 Reactions
8 Replies
436 Views
Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
1 Reactions
5 Replies
200 Views
Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya Tatizo la huu...
4 Reactions
92 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Nimeona leo tutaje matunda tunayoyapenda zaidi, na tuseme sababu za kuyapenda ili iwe elimu kwa ambao hawajui other side of fruits wonders to our body health. Binafsi tunda...
4 Reactions
109 Replies
1K Views
Bro thinks he’s still in his mother's womb 🥹
2 Reactions
14 Replies
286 Views
Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani
3 Reactions
8 Replies
361 Views
Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa...
2 Reactions
7 Replies
363 Views
Back
Top Bottom