Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Jamani Gari huwa naicha sehemu wakati wa asubuhi jioni huwa naipitia ikiwa imeoshwa sasa Jana baada ya kufika nyumbani nimekuta kuna hivi vitu kwenye gari kinaweza kuwa nini??
4 Reactions
28 Replies
2K Views
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana msiba wa mzee baba umekuwa na maajabu yake. Ilikuwa Jaffo na sasa bi Halima au sauti ya zege: Kutokea kwenye kuvunjwa mkono hadi kwenye mahaba niue, kweli siku hazigandi...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Msafara wa magari uliombeba hayati Rais Dk John Pombe Magufuli ukipita eneo la Machinga Complex kuelekea Uwanja wa Taifa DAR ES SALAAM Katibu Mkuu wa Chadema Mhe. John Mnyika (wapili kulia)...
5 Reactions
136 Replies
22K Views
Bernardine Evaristo ni nani? ===== Bernardine Anne Mobolaji Evaristo, OBE, FRSL, FRSA, FEA (born 1959), is a British author. Her eighth book, the novel, Girl, Woman, Other, won the Booker Prize in...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Nchi nyingi za kiafrica zinaomboleza kifo cha RAIS MAGUFULI kama unavideo itupie ili tuone..Mimi nimeanza na izi video.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Majonzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyo wa tatu Kuanzia wa kwanza
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Kumekuwa na taarifa kwamba baadhi ya wanaozimia na kulia hovyo wameandaliwa kufanya hivyo na MATAGA. Katika kufuatilia taarifa hizo nimekutana na kituko hiki. Huyu aliyejifanya kazimia bado...
42 Reactions
161 Replies
12K Views
Picha bora ya siku
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Cheka unenepe Burudika na Nyangema uchwara ..Usipocheka pia ww ni UCHWARA !! Mzee wa kamba!!!!
14 Reactions
857 Replies
224K Views
Back
Top Bottom