Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!
Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupe
9 Reactions
53 Replies
8K Views
Comments ziwe fupi na zenye kuashiria majonzi... Zibebe utu pia[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
13 Reactions
53 Replies
5K Views
Baada ya kusikia kelele za kunguru na kishindo kizito.. [emoji216][emoji216][emoji216][emoji216]
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Leo nimecheka sana nusura nivunjike mbavu wakati nasoma Magazeti ya mwananchi na majira, maana wamemtoa mzee wa pushups ana kidevu kirefu, kichogo kirefu na kipaji cha uso kireeeefu, harafu...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari, Dar kwa kuiangalia ni ndogo lakini kufahamu sehemu ni kitu kingine kabisa. Kuna watu wanaishi Dar mika nenda rudi, lakini hii picha ukimuuliza ni wapi hana jibu. Wakuu, hapa ni wapi?
2 Reactions
87 Replies
15K Views
Kwa wale wasomaji wa picha, ipe maelezo picha hii
2 Reactions
18 Replies
2K Views
.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu mtu huyu....hususan kwa wale wahenga wa KLH News, sauti yake mbona kama imefanana na sauti ya head honcho wa Kijijini Leo Hii, Mzee Mwanakijiji. Ni wewe mzee?
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa kwenye foleni ya barabara wakati alipokuwa akiendesha gari mapema leo katika viunga vya jiji la Nairobi. Rais Kenyatta amekuwa akijipambanua kuwa yeye ni...
4 Reactions
22 Replies
8K Views
Moyo wangu unanipigia kelele
7 Reactions
22 Replies
3K Views
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mmachinga kajenga kibanda chake, kimekuja kupigwa X na halmashauri na kuandikwa ONDOA KWA AMRI YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Mmachinga kajibu SIONDOI KWA AMRI RAIS WA TANZANIA, NA...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom