Hawa wabunge watajivunia nini kwa wajukuu zao kama bungeni ndio kumegeuka kijiwe cha matusi. Wanafunzi wakiandika matusi kwenye mitihani tunalaumu na hili wa wabunge tufanyenini
Jamal Sambeke mtoto wa marehemu akifunga jeneza la baba yake mara baada ya watu mbalimbali kutoa heshima zao za mwisho nyumbani kwake njiro Themi Mkoani Arusha
kwa picha zaidi angalia MAASINDA...
Wanawake wengi wanapenda sana kulia..hata wakifurahia jambo wao wanalia. Ukiona mwanaume analia, haaa jua kuna jambo na kilio chake chaweza kusababisha wengi walie...
Wakuu,
Ni muda sasa nimekuwa nikiangalia au kufuatilia hii kesi ya Lwakatare kupitia TV hususani wakati wa taarifa ya habari. Lakini nimekuwa sielewi ishara anayoonesha bwana Ludovicky ya vidole...
Haya ndio Madhara ya kujichora chora mwilini Tatoo mwili kuvimba vimba na kupata Maradhi ya ajabu ajabu kazi kwenu mnaopendakujichora miili yenu....................
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.