Anaitwa caroline ni mwimbaji wa machozi band
namzimia sana kwa urembo wake wa sura na sauti pia na ndio maana huwa sikosi
kwenye show za machozi band na jd
nampenda sana hii toto
Jengo lililo pembeni mwa msikiti wa Shia Ithnaasheri mtaa wa Indira Ghandi katikati ya jiji la Dar es salaam linavyoonekana baada ya kuporomoka asubuhi hii. Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.